Samweli Chamulomo augua Bungeni ghafla na kufariki

Samweli Chamulomo augua Bungeni ghafla na kufariki

Very Sad indeed, huyu ni mtangazaji wa pili, wa TBC kupoteza maisha akiwa studio, on the microphone, ndani ya kipindi cha miaka 2!.

Wa kwanza ni Halima Mchuka!.

Wote walikuwa studio, kazini, wakitangaza live, ghafla walikosa pumzi, wakakosa nguvu, na kuanguka studio end of the story!.

Very Sad in deed!.

RIP Sam Chamlomo!.

Pasco

Ila Halima Mchuka alilazwa siku nyingi hakufa ghafla. Mpaka JK alienda kumtembelea Muhimbili.
 
Halima Mchuka alishafariki?? Sijasikia muda kweli hii tbc fm ndio napata taarifa toka kwako
 
Since ulikua ukifanya kazi TBCCM basi inaniwia vigumu sana kutoa RIP aisee.
We nenda tu ila sijui kama ni kwa Amani au kwa Shari anajua Mungu!

Aaaameeen!!
 
Ila Halima Mchuka alilazwa siku nyingi hakufa ghafla. Mpaka JK alienda kumtembelea Muhimbili.
Ile ya JK kwenda kumtembelea Muhimbili, ilikuwa ni siku nyingi, akapona akarudi kazini, siku alipoitwa jumla, alikuwa Studio akitangaza, ametoka kula akaingia studio na chupa ya soda amekunywa nusu, akiwa live kwenye mic, akaishiwa nguvu, akataka kuanguka, Mtangazaji Swedy Mwinyi akamzuia kumshika, ndipo akatolewa studio kwa kubebwa hadi Muhimbili, ndio safari!. Ile soda aliyoiacha studio. ilibaki vile vile na pale pale more than seven days!.

Taarifa nyingi za vifo vya ghafla vinavyoelezwa kutokea mahospitalini, ule muda unaotangazwa wa kifo kutokea na juhudi za madakitari kuokoa maisha, ni process tuu ya kusubiria uthibitisho wa kidakitari!.

Hata kwa Kanumba, it was then and there!, akavalishwa, akakimbizwa Manyanyamala, then Muhimbili ili kuokoa maisha yake na madaktari wakajitahidi kadri walivyowezsa kuokoa maisha yake!.

RIP Chamlomo.

Pasco
 
Back
Top Bottom