Tanzania Njema Yaja
JF-Expert Member
- Jul 15, 2015
- 3,041
- 2,417
Usitufananishe watanzania na wanyarwanda,wanyarwanda wamefanya hivyo kwa kuwa hawajui walitendalo,watanzania tunaojua tunachokifanya ni nini hatuwezi tukafanya upuuzi wa wanyarwanda ya Nkurunziza yakatupata.Mbona Wanyarwanda wameendelea kumuamini Kagame tena kwa Wingi.
Magu akitutoa tulipo akae milele.
Huu nao ni utumwa wa mawazo unajuaje kuwa hakuna watanzania wengine wanaoweza kuiongoza vizuri Tz zaidi ya Magufuli?Mbona Wanyarwanda wameendelea kumuamini Kagame tena kwa Wingi.
Magu akitutoa tulipo akae milele.
aende zake huko kijiji kwao keshatumika kama kondomu hatutaki kumsikia
..siyo vizuri kumtukana na kumbeza mzee sita , yeye katoa maoni yake, yasipuuzwe hata kama hukubaliani nayo. Wewe kuwita pumbafu ni maoni yako tu, siyo lazima tukubaliane na wewe. Nachukia sana wana JF kutukana humu, tutoe hoja na si matusi. Anayetukana hana hoja na uelewa wake ni mdogo ?wewe tuambie nini kosa au ubaya wa mzee sita..
Hata sisi tulishapita huko. Enzi za Nyerere pamoja na kuwakuna kipindi hatukuwa na bidhaa madukani, watu walitembea nusu uchi au kuvaa bipande vya nguo/magunia, lakini tukipiga kura tunampa juu ya asilimia 80! Ya Wanyarwanda si ya kushangaza yalitegemewa.
Huyu mbakaji wa mchakato wa katiba mpya has no moral authority to speak about anything essential to this country. he had his time but he wasted it.
Ni kweli anaangushwa na washauri wake
Huko kijijini Urambo hana hata nyumba ya kuishi,amemtelekeza mama yake mzazi anauza mkaa na genge la dagaa na nyanya,labda akafikie kwenye ofisi aliyojenga ya bunge.aende zake huko kijiji kwao keshatumika kama kondomu hatutaki kumsikia
Kama kweli kwa nini asimfuate amueleweshe akiwa na vielelezo..huyu mzee namuheshimu ila ameshindwa kusoma alama