Samwel Sitta ampiga bao Lowassa urais 2015 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Samwel Sitta ampiga bao Lowassa urais 2015

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Tanzaniaist, Dec 5, 2011.

 1. T

  Tanzaniaist Senior Member

  #1
  Dec 5, 2011
  Joined: Nov 29, 2011
  Messages: 162
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Kweli katika maisha kuna kitu kinaitwa Proffessional and Amateur, Au Kuna Kitu Kinaitwa legelege au Ukomavu...!
  Kamanda Samwel Sitta Ameonyesha Ukomavu wa kiasa pamoja na uwezo mkubwa sana baada ya kuweza kuwaweka chini mahasimu wawili GODBLESS LEMA na GAUDENCE LYIMO (meya wa jiji la Arusha) Kitu ambacho hakuna kiongozi mwingine aliyedhubutu kufanya hivyo!

  Na kweli kama amani itatokea tena Arusha basi SITTA ndio atakuwa amefanikisha kwa asilimia mia moja!

  Napenda niseme Samwel Sitta Ndio Kiongozi kwa mambo yafuatao

  +Ana Msimamo usiopindishwa,Kama ishu ya dowans Amekuwa na Msimamo thabiti
  +Ni kiongozi jasiri,shupavu, kama kwenye uchaguzi 2010 alijitoa mhanga kwa CCM Ajitose kwenye mdahalo na Dk.Slaa
  +Ni Kiongozi aliyewashughulikia mafisadi ipasavyo kwa kuruhusu mijadala ya bungeni ambayo iliwaaumbua mafisadi

  Huyu ndio Samwel Sitta Kiongozi Jasiri Anayemnyima usingizi Ngoyai...,Sitta Anatumia Akili Wakati Ngoyai Anatumia Pesa Tutaona NANI ATAKUWA MSHINDI...
   
 2. Daniel Anderson

  Daniel Anderson JF-Expert Member

  #2
  Dec 5, 2011
  Joined: Aug 7, 2011
  Messages: 879
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mh! Ushabiki mwingine bwana?! Sifa za kijinga kabisa
   
 3. WA-UKENYENGE

  WA-UKENYENGE JF-Expert Member

  #3
  Dec 5, 2011
  Joined: Oct 1, 2011
  Messages: 2,904
  Likes Received: 227
  Trophy Points: 160
  Ni mapema mno kuanza kupiga kampeni! Lets solve our current problems.
   
 4. Rejao

  Rejao JF-Expert Member

  #4
  Dec 5, 2011
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 9,239
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Afadhali sasa hivi kila thread inaihusu CCM..CDM imeanza kupotea kwenye jukwaa letu la siasa.
   
 5. Sniper

  Sniper JF-Expert Member

  #5
  Dec 5, 2011
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 1,944
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Naona Sitta naye anaingiza mamluki wake wa kumpigia debe humu JF.
  sittapayroll.jpg
   
 6. M

  Marytina JF-Expert Member

  #6
  Dec 5, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 7,037
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  Sitta ni mnafiki namba mmoja kutokea Tanzania

  ANAISHI KWENYE NYUMBA YA SPIKA
  ALIONGEZA MARADUFU MARUPURUPU YA WABUNGE
  ALIZIMA DOWANS
  ALIUNGA MKONO POSHO
  ALIANZISHA CCJ
  ALIJIJENGEA JENGO LA USPIKA KWAO
   
 7. R

  Renegade JF-Expert Member

  #7
  Dec 5, 2011
  Joined: Mar 18, 2009
  Messages: 3,765
  Likes Received: 1,068
  Trophy Points: 280
  Kila siku kupiga debe tu!! Debe debe kwa kwenda mbeleeeeee.
   
 8. Rejao

  Rejao JF-Expert Member

  #8
  Dec 5, 2011
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 9,239
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  kwahiyo hapa unatushauri Lowasa ndiye anafaa zaidi kwa uraisi 2015?
   
 9. Sniper

  Sniper JF-Expert Member

  #9
  Dec 5, 2011
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 1,944
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
 10. M

  Mwamakula JF-Expert Member

  #10
  Dec 5, 2011
  Joined: Nov 7, 2010
  Messages: 1,893
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 145
  Hawa Mbona hawapatani???
   
 11. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #11
  Dec 5, 2011
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  marupurupu ya sasa yamezidi
   
 12. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #12
  Dec 5, 2011
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  shida hazitatuliki, kampeni ni rahisi zaidi ya kutatua shida
   
 13. c

  cleverley Member

  #13
  Dec 5, 2011
  Joined: Aug 31, 2011
  Messages: 16
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Let's deal with our problems first, uraisi 2015 hautusaidii kwa sasa
   
 14. TUMBIRI

  TUMBIRI JF-Expert Member

  #14
  Dec 5, 2011
  Joined: May 7, 2011
  Messages: 1,934
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Hangover noma!
   
 15. d

  dguyana JF-Expert Member

  #15
  Dec 5, 2011
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 426
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Naona sita amekupa notes uje uzitume humu JF kupima upepo. Maelezo yako tu yanaonyesha aliyeandika ni mzee anayetafuta ushawishi kwa vijana.

   
 16. Butola

  Butola JF-Expert Member

  #16
  Dec 5, 2011
  Joined: Jan 19, 2010
  Messages: 2,221
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  Hauna data, kaa chini..
   
 17. t

  thatha JF-Expert Member

  #17
  Dec 5, 2011
  Joined: Apr 29, 2011
  Messages: 15,234
  Likes Received: 179
  Trophy Points: 160
  dalili mojawapo ya umaskini wa mawazo ni kujadili watu badala ya kujadili hoja (issue), mtu unapokuja hapa unatueleza majina ya watu na umaarufu au uchafu wao inanipa tabu kidogo.tuangalie mambo muhimu yanayolikabili taifa kama vile kuporomoka kwa thamani ya shilingi,kupanda kwa bei za bidhaa muhimu na ni jinsi gani ya kuweza kutatua.
   
 18. s

  steering Member

  #18
  Dec 5, 2011
  Joined: Nov 28, 2011
  Messages: 71
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Jasiri? asingekuwa kigeugeu.......hastahili?
   
 19. Trustme

  Trustme JF-Expert Member

  #19
  Dec 5, 2011
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 1,172
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Wewe ndiyo wasema
   
 20. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #20
  Dec 5, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  Kwenye Dowans sikubalian nawe,maana ALIUZIMA MJADALA WA RICHM0ND ambayo ndo DOWANZ!HUKUMBUKI?AU UMEAMKA NA MNING'INIKO?
  Kajipange
   
Loading...