Urais 2015: Uhusiano wa Samwel Sitta na Richmond

RockSpider

JF-Expert Member
Joined
Feb 16, 2014
Posts
6,859
Reaction score
2,762
Nimelazimika kuandika kuweka takwimu sahihi kwa vizazi hivi na vizazi vijavyo; kuanzia sasa nitakuwa nawachambua watia nia wote wa Urais wanaojinasibu kuwa ni WAZALENDO ingali wao ndo Mafisadi Papa katika nchi hii. Lengo ni kuweka mambo hadharani ili hatimae Umma ufanye maamuzi sahihi hapo October.

SEHEMU YA KWANZA nitaanza kumchambua Samwel Sitta:
1. akiwa Mkurugenzi wa TIC aliridhia sera mbovu ya uwekezaji (Investment Policy 1996) iliyoandaliwa vilivyo kwa maslahi ya USA et al... To date sera ya uwekezaji inayojali zaidi Wawekezaji kuliko wazawa haijawahi kuwa reviewed ...
2. Akiwa Mkurugenzi wa TIC alikwenda USA kuonana na Wamiliki wa Richmond kwaajili ya kujenga bomba la mafuta kutoka Dar hadi Mwanza!! upembuzi yakinifu juu ya mradi huo ulifanywa na Kampuni ya kizalendo ya akina Muro wa mbezi tiles!!! Sitta aliiba nyaraka husika na kasha kuzikabidhi kwa Richmond! Deal lilivunjika baada ya akina Muro kutishia kwenda Mahakamani ... kwa ufupi Richmond ililetwa na Samwel Sitta ... Uchunguzi wa kina uliofanyika inaonyesha kuwa Zengwe la kumharibia lowassa lilipikwa na kutengenezwa in collaboration with Richmond, Membe na Sitta...
3. Wakati wa Ujenzi wa Barabara ya Musoma - Nyanguge: Sitta alikula rushwa ya kuletewa vifaa vya ujenzi kwenye Makontena! TISS walitoa taarifa kuhusiana na nyumba ya Sitta iliyoko Urambo... Sitta ni Mchafu Mla Rushwa Mkubwa kuliko wote Tanzania ... wadau mbali mbali wanalijua hili ...
4. Sitta aliwahi kuipeleka Simba Brazil kwa fedha za walipa kodi wa Tanzania.. Mameneja wa Simba akina Slvio walikuwa wanakula na kulala bure Kilimanjaro Hotel miaka nenda miaka rudi Jambo lililopelekea kuzorotesha huduma za hotel ..
5. Sitta alikamatwa akimla mke wa Mwanausalama Iringa na Rais Mwinyi alionyeshwa picha zake za Utupu jambo lililopelekea Alhaji Mwinyi kupiga Astakafirulllah mara 20! Baada ya hapo aliondolewa kuwa Mkuu wa Mkoa... Sitta anajulikana kuwa alikuwa anatumia madaraka yake kujilimbikizia wanawake wa kila aina! Wengi wanamjua kwa uzinzi wake uliopitiliza na ambao kwa kiasi kikubwa kilimfanya ashindwe kuwekeza hivyo kuwaonea wivu viongozi wenzake waliofanikiwa kimaisha...
6. Madudu ya BMK hope wote mnayafahamu ... Alisababisha Serikali kuingia kwenye Gharama kubwa wakati ilikuwa inajulikana wazi kuwa bila Maridhiano Bunge hilo lisingekuwa na tija, alipigisha kura hadi makaburu na mahujaji! Afisa Ubalozi wa Tanzania nchi Saudia alirejeshwa nyumbani kwa kueleza ukweli kuwa Mahujaji hawakuweza kupiga kura! Sitta ni muumini mzuri wa uchakachuaji wa matokeo... UFISADI WAKE CDA na DIA nitawaletea Baadae...
....FACTS ZITANDELEA ...
 
Weak minded discuss about people...why don't you discuss issues instead? Naona uchafu wa dhamira yako kwa Sitta, labda na kwa wengine unaotaka kutueleza badala ya kujadili hoja unajadili watu. Simtetei Sitta kwa uovu wowote ila naona Nia zako ovu kwa watu. Hebu badilika uondoe aibu yako
 
Mkulima wa Kuku usiwe kama kuku aliekatwa kichwa... nchi hii ni yetu sote! Ni vema tukawatambua wenye kuinajisi na kuibomoa ili hatimae tuweze kuijenga upya ...
 
Nimelazimika kuandika kuweka takwimu sahihi kwa vizazi hivi na vizazi vijavyo; kuanzia sasa nitakuwa nawachambua watia nia wote wa Urais wanaojinasibu kuwa ni WAZALENDO ingali wao ndo Mafisadi Papa katika nchi hii. Lengo ni kuweka mambo hadharani ili hatimae Umma ufanye maamuzi sahihi hapo October.

SEHEMU YA KWANZA nitaanza kumchambua Samwel Sitta:
1. akiwa Mkurugenzi wa TIC aliridhia sera mbovu ya uwekezaji (Investment Policy 1996) iliyoandaliwa vilivyo kwa maslahi ya USA et al... To date sera ya uwekezaji inayojali zaidi Wawekezaji kuliko wazawa haijawahi kuwa reviewed ...
2. Akiwa Mkurugenzi wa TIC alikwenda USA kuonana na Wamiliki wa Richmond kwaajili ya kujenga bomba la mafuta kutoka Dar hadi Mwanza!! upembuzi yakinifu juu ya mradi huo ulifanywa na Kampuni ya kizalendo ya akina Muro wa mbezi tiles!!! Sitta aliiba nyaraka husika na kasha kuzikabidhi kwa Richmond! Deal lilivunjika baada ya akina Muro kutishia kwenda Mahakamani ... kwa ufupi Richmond ililetwa na Samwel Sitta ... Uchunguzi wa kina uliofanyika inaonyesha kuwa Zengwe la kumharibia lowassa lilipikwa na kutengenezwa in collaboration with Richmond, Membe na Sitta...
3. Wakati wa Ujenzi wa Barabara ya Musoma - Nyanguge: Sitta alikula rushwa ya kuletewa vifaa vya ujenzi kwenye Makontena! TISS walitoa taarifa kuhusiana na nyumba ya Sitta iliyoko Urambo... Sitta ni Mchafu Mla Rushwa Mkubwa kuliko wote Tanzania ... wadau mbali mbali wanalijua hili ...
4. Sitta aliwahi kuipeleka Simba Brazil kwa fedha za walipa kodi wa Tanzania.. Mameneja wa Simba akina Slvio walikuwa wanakula na kulala bure Kilimanjaro Hotel miaka nenda miaka rudi Jambo lililopelekea kuzorotesha huduma za hotel ..
5. Sitta alikamatwa akimla mke wa Mwanausalama Iringa na Rais Mwinyi alionyeshwa picha zake za Utupu jambo lililopelekea Alhaji Mwinyi kupiga Astakafirulllah mara 20! Baada ya hapo aliondolewa kuwa Mkuu wa Mkoa... Sitta anajulikana kuwa alikuwa anatumia madaraka yake kujilimbikizia wanawake wa kila aina! Wengi wanamjua kwa uzinzi wake uliopitiliza na ambao kwa kiasi kikubwa kilimfanya ashindwe kuwekeza hivyo kuwaonea wivu viongozi wenzake waliofanikiwa kimaisha...
6. Madudu ya BMK hope wote mnayafahamu ... Alisababisha Serikali kuingia kwenye Gharama kubwa wakati ilikuwa inajulikana wazi kuwa bila Maridhiano Bunge hilo lisingekuwa na tija, alipigisha kura hadi makaburu na mahujaji! Afisa Ubalozi wa Tanzania nchi Saudia alirejeshwa nyumbani kwa kueleza ukweli kuwa Mahujaji hawakuweza kupiga kura! Sitta ni muumini mzuri wa uchakachuaji wa matokeo... UFISADI WAKE CDA na DIA nitawaletea Baadae...
....FACTS ZITANDELEA ...

Hizi ni tetesi tu kama si porojo, hakuna facts hapo acha ujinga kijana. Ambatanisha na vielelezo husika ili iwe facts. Shule gani umesoma ndugu yangu.

Ni mawazo huru yasiyofungamana na upande wowote.
 
mie nasubiria kwa hamu uchambuzi wa le Lowasa! kutoka kwa papaa RockSpider
 
Kumbe 2005 ilikuwa nafuu maana wengine walikuwa waarabu kighafla au mwenye mchezo huo bado anagombea itabidi watu watafiti ili tuyaonee hapahapa
 
Rockspider ukitaka kuwa mchambuzi mzuri jaribu kubalance mambo, hajawahi kutokea mwanadam mwenye udhafu tuu bila kuwa na uzuri hata chembe. Jifunze kwa mtatiro,,,h
 
Hapa tunaangalia mustakbali wa nchi ... Watanzania wa leo wanatakiwa kubadilika, muda wa kusifiana ujinga umekwisha.. Wachina wasingefika hapo walipo kama wangekuwa wanapongezana kwa ujinga...
Rockspider ukitaka kuwa mchambuzi mzuri jaribu kubalance mambo, hajawahi kutokea mwanadam mwenye udhafu tuu bila kuwa na uzuri hata chembe. Jifunze kwa mtatiro,,,h
 
Astaghafillulah!!!×56....eeeh ikaweje sasa? Huyu bwana 6 huyu mi nilidhani ni BMK tu?? Kumbe hadi wake za watu kafisadi
 
Sawa ndg. Hata nasi watanzania twataka kiongozi bora, hebu mwanike anayefaa hapa na sifa zake na ueleze kwanin anafaa kututoa hapa tylipo
 
Hapa kuna haja ya ku-connect dots. LOWASSA akiwa na wahariri alisema hivi: "mimi sipendi umaskini, mimi sio kama wangine wakipata hela inaishia kwenye starehe na wanawake". Baadae akasema akina mama nisamehe kwa hili
 
Ha ha ha ha ha hiyo ya raisi mwinyi kupiga astakafililahi mara 20 imenichekesha sana
 
Kwahiyo RICHMOND ililetwa nchini na Samwel Sitta na baadae akaviringisha taarifa kupelekea watu wote waone wahusika kina Karamagi, Msabaha, Lowasa.
Sasa inawezekanaje CCM ikaruhusu kutumikia mtu kama Sitta badala ya wanachama na watanzania?
Inawezekanaje Sitta ambaye hakuwa mwenyekiti wa CCM kuwa na uwezo mkubwa wa kumuonea Lowasa bila zuio lolote?
 
Back
Top Bottom