Ndumbayeye
JF-Expert Member
- Jan 31, 2009
- 7,335
- 3,900
Watanzania wenzangu. Tumeingia kwenye mtego wa kushindaniana uongozi tu? Yaani leo hii badala ya watu kushughulikia mikakati ya maendeleo, tunaangalia uchaguzi wa 2015! Sikatai kuangalia uchaguzi, ni sawa, lakini sio muda muafaka. Kwa sasa tunapaswa kushughulikia miradi ya maendeleo, uchaguzi ukifikia wakati wake tutafanya tu. Jamani tutafakari, tubadilike, na tuchukuwe hatuwa. Ndio maana WaTz tunabaki kuwa omba omba tu.
watanzania wengi ni malimbukeni wa siasa wamekabidhi matatizo yao ya kimaisha kwa wanasiasa ili wawaletee maendeleo