Tanzaniaist
Senior Member
- Nov 29, 2011
- 161
- 158
Kweli katika maisha kuna kitu kinaitwa Proffessional and Amateur, Au Kuna Kitu Kinaitwa legelege au Ukomavu...!
Kamanda Samwel Sitta Ameonyesha Ukomavu wa kiasa pamoja na uwezo mkubwa sana baada ya kuweza kuwaweka chini mahasimu wawili GODBLESS LEMA na GAUDENCE LYIMO (meya wa jiji la Arusha) Kitu ambacho hakuna kiongozi mwingine aliyedhubutu kufanya hivyo!
Na kweli kama amani itatokea tena Arusha basi SITTA ndio atakuwa amefanikisha kwa asilimia mia moja!
Napenda niseme Samwel Sitta Ndio Kiongozi kwa mambo yafuatao
+Ana Msimamo usiopindishwa,Kama ishu ya dowans Amekuwa na Msimamo thabiti
+Ni kiongozi jasiri,shupavu, kama kwenye uchaguzi 2010 alijitoa mhanga kwa CCM Ajitose kwenye mdahalo na Dk.Slaa
+Ni Kiongozi aliyewashughulikia mafisadi ipasavyo kwa kuruhusu mijadala ya bungeni ambayo iliwaaumbua mafisadi
Huyu ndio Samwel Sitta Kiongozi Jasiri Anayemnyima usingizi Ngoyai...,Sitta Anatumia Akili Wakati Ngoyai Anatumia Pesa Tutaona NANI ATAKUWA MSHINDI...