Samunge MojašŸ˜…

Samunge MojašŸ˜…

Huyu Babu ni moja kati ya genius maana si kwa purukushani ile!! Aliuhadaa utaifa na nje ya utaifa!, Nafikiri hata taasisi kubwakubwa zilitia miguu kwake hasa wale wenye miradi mikubwa ya magonjwa wakihisi biashara zao ndo zikienda ukingoni!!..
 
Kutetea Uhai Kila Mtu Yupo Sawa Sawa Kikombe
 
Back
Top Bottom