Samuel Sitta awapa somo Kagame (Rwanda), Museveni (Uganda)

Ben unashangaa nini tena na wewe? Hawa watu sasa hivi ni shagalabagala, hakuna uongozi wa pamoja ndani ya serikali. Kila mtu anatoa tamko lake kama alivyofikiri usiku akiwa na wife kisha linakuwa la serikali.
Mwisho wa siku jambo moja Rais kalisemea vile,waziri vile,Nape kivyake na hata watendaji wengine vyao. Utadhani tafrija yenye pombe nyingi kuliko waalikwa.

Nakusahihisha kidogo mkuu. Nape hawezi kutoa tamko la serikali bali la chama. Mawaziri na rais ndio wenye dhamana ya kutoa matamko ya serikali.
 
Nakusahihisha kidogo mkuu. Nape hawezi kutoa tamko la serikali bali la chama. Mawaziri na rais ndio wenye dhamana ya kutoa matamko ya serikali.[/QUOTE
Unaishi wapi wewe bila kujua Tz yako? Hapa hakuna tofauti kati ya serikali na chama Tawala, Nape huyohuyo alishamwambia mkuu wa wilaya mmoja kuwa "nitakufukuza kazi" sasa hilo ni tamko la chama au serikali? Chunguza utofauti wa CCM na serikali halafu niambie.
 
mr SITTA wewe ni kigeugeu rais JK amesha sema hakuna ugomvi kati yetu watanzania na wanyaruanda so pole sana uwezi mganganiza mtu anunue bidhaa dukani kwako kama wao wamevutiwa na KENYA yote ni mema
 
Kuna umbali gani kutoka Brazili hadi Dar es salaam na kuna umbali gani kutoka Mtibwa (Morogoro) hadi Dar es salaam?
Then fananisha bei ya sukari kutoka pande hizo mbili zikifika dar inasomekaje?
 
Mkuu wakati mwingine ni vigumu sana kumuelewa Mh.SITA, yeye ni mwana sheria kitaaluma mtu ungetegemea angetumia walao lugha ya kidiplomasia kidogo, sina shaka alijua fika Mh.JK alitoa kauli hile akiwa na wadhifa gani na alikuwa anawakilisha nchi/kitengo gani cha AU; sasa hili la Mh. Sitta kutoa impression as if ni ugomvi baina ya watu wawili wanaosigana, ana maana gani? Binafsi kauli ya Mh.Sitta inanipa wakati mgumu sana kuielewa!! Kama kauli hiyo ingetolewa na Waziri wa Rwanda ningelewa ni propaganda lakini inapotolewa na Waziri aliye teuliwa na JK kwenye Cabinet yake basi mtu mwenye akili timamu unajua kauli hiyo haikutolewa kwa bahati mbaya, kuna tatizo - somewhere. Nasema hivi, kama Mh.Sitta hana spirit ya collective leadership basi ningemshauri ajiuzuru wadhifa wa Uwaziri ili ajiweke huru kusema apendalo.
Nyie viumbe mna matatizo kweli!! Na mnaonyesha jinsi mnavyofikiria KIPINZANIPINZANI. Grow up guyz.....
Binafsi sioni contradiction yoyote kati ya kauli ya J.K na S. Sita.kama mliisoma vizuri hotuba ya JK kuhusu huu mgogoro, basi mtakubaliana na mimi kuwa J.K hakukanusha uwepo wa mgogoro baina yake na KAGAME. A lifikia hatua ya kusema"" natishiwa maisha yangu na kuharibiwa sifa yangu"".
Alichokifanya JK ni kuthibitisha kuwa mgogoro upo ila unasababishwa na kukuzwa na KAGAME. Na la msingi alilotuonyesha JK ni kwamba hakuna mgogoro baina ya WATANZANIA na WANYARWANDA, kuwahakikishia wanyarwanda kuwa tanzania haina nia wala dhamira ya kuivamia rwanda wala kusitisha uhusiano na wanyarwanda.....(ila hakutoa uthibitisho huo kwa P.KAGAME as a person)
Sijui mnalolumbania hapo kwenye kauli ya SITA ni nini????
Mnakua miili tu lakini akili zenu bado chekechea
 
Kauli za sita zimekuwa chungu sana kwa serikali ya JK. Nafikiri anachokitaka Mhe huyu nikutimuliwa ila kwakuwa jamaa (JK) ameiva kisiasa na kidplomasia za kinafiki (hypocrite politician & diplomat), Sita utastaafia hapo hapo wizara ya EA kisiasa na baada ya 2015 hatutokusikia tena. Hivi unaposema ugomvi baina ya wanasiasa wawili (ambao kimantiki ni Rais wa Tanzania na Rais wa Rwanda), hujui kwamba Urais ni Taasisi?. Kwa kukuelewesha tu Mhe Sita ni kuwa Rais anapotamka kitu, au anaposhauri jambo iwe ndani au nje ya nchi, tamko hilo au ushauri huo utakuwa umetolewa na nchi husika mathalani Tanzania. Hivyo suala la kuishauri Rwanda ikae mezani na waasi, suala la kupeleka vikosi vya kulinda aman DRC, na suala la kuwafukuza wahamiaji haramu mikoa ya kagera na kigoma, sio maamuzi ya JK wala mwanasiasa mmoja bali ni maamuzi ya nch (United Republic of Tanzania). The same to kauli za kejeli, dharau, na vitisho zilizotolewa na viongozi waandamizi wa serikali ya Rwanda akiwemo Rais PK, sio kauli za mwanasiasa mmoja wa Rwanda bali ni serikali ya Rwanda ndio iliyotoa kauli hizo. Dhana ya uwajibikaji wa pamoja haipo kichwani mwa mhe Sita na kama ipo basi unaihujumu serkali ya JK kwa makusudi ukitegemea kuwajibishwa. Ila kwa siasa za kinafiki za JK hutofanikiwa kamwe. Pata somo kwa mwenzako mzee Malecela japo yeye kwasasa ameundiwa baraza lake la ushauri ndani ya CCM hivyo kujiona kuwa kisiasa hajatupwa kama wewe utakavyotupwa baada ya 2015, chezea CCM wewe! Waswahili wanasema "mfa maji haachi kutapatapa" toka 2010 Sita umeeanza kutapatapa nazani hayo maji yameshakufika puani na sio shingoni tena . Tuliotaka kukuokoa mwaka 2010 hukutuelewa na sasa tunajaribu kukuokoa tena kwamba UONDOKE CCM bado hutuelewi. Kwakuwa hutuelewi, sisi tunaendelea kuandaa sanda and other materials for your political funeral in 2015. Asiesikia la mkuu huvunjika guu.
 
Rais aseme hatuna ugomvi na Rwanda halafu Cabinet minister tena wa wizara ya EAC anakubali kuna ugomvi kati ya wanasiasa hawa wawili yaani Kikwete na Kagame !

Hapa inaonekana,hata sita mwenyewe yupo,upande wa kagame.mbona kipindi hiki haja fwatuka,namaneno yake kama anapo washambulia wabunge,waviti maalum,napia kama waziri wadhamana haja wauliza wenzake mawaziri,hivyo vikao vyao vya nchi tatu badala ya nchi tano maana yake nini?east afrika ya sasa niunafiki.
Sita na JK ni maji na mafuta, kamwe hawezi msapport wazi wazi!
 
Nyie viumbe mna matatizo kweli!! Na mnaonyesha jinsi mnavyofikiria KIPINZANIPINZANI. Grow up guyz.....Binafsi sioni contradiction yoyote kati ya kauli ya J.K na S. Sita.kama mliisoma vizuri hotuba ya JK kuhusu huu mgogoro, basi mtakubaliana na mimi kuwa J.K hakukanusha uwepo wa mgogoro baina yake na KAGAME. A lifikia hatua ya kusema"" natishiwa maisha yangu na kuharibiwa sifa yangu"".Alichokifanya JK ni kuthibitisha kuwa mgogoro upo ila unasababishwa na kukuzwa na KAGAME. Na la msingi alilotuonyesha JK ni kwamba hakuna mgogoro baina ya WATANZANIA na WANYARWANDA, kuwahakikishia wanyarwanda kuwa tanzania haina nia wala dhamira ya kuivamia rwanda wala kusitisha uhusiano na wanyarwanda.....(ila hakutoa uthibitisho huo kwa P.KAGAME as a person)Sijui mnalolumbania hapo kwenye kauli ya SITA ni nini????Mnakua miili tu lakini akili zenu bado chekechea
Mwenye matatizo ni wewe ambaye una ushabeki wa kijinga, hutafakali mambo kiundani - unawezaje ku-support kiongozi ambaye mara zote anaonekana wazi wazi kumu-undermine mtu aliye mtehua kuwa Waziri!! Watanzania sio wajinga bwana, this guy is hell bent to tearing others down (JK included) by building himself up politically, ndicho kinacho endelea hapa - ana kawaida ya kuhungana na like mind wenzake kutoa Controversial statements aidha kwenye fund raising functions, vyuoni nk, anawakandia baadhi ya viongozi wenzake walio madarakani au nje ya madaraka kwa nini?? Kwa akili za kawaida tu, mtu ungetegemea kwamba Cabinet members wote wanapashwa kuwa kitu kimoja inapokuja suala la sisi na Rwanda, sasa anapotokea member mmoja kutaka ku-redefine msimamo wa mkuu wa nchi, hapo SITTA anataka kutueleza nini? Kwamba kuna a Govt within a Govt ndani ya Taifa letuu!! Mwisho nakushauri ujaribu kutumia lugha za kistaarabu unapo jadili jambo, haipendezi kuwatukana binadamu wenzako ambao unawaona wanatofautiana nawe kimsimamo, cha kufanya ni ku-agree to disagree basi.
 
Kuna umbali gani kutoka Brazili hadi Dar es salaam na kuna umbali gani kutoka Mtibwa (Morogoro) hadi Dar es salaam?
Then fananisha bei ya sukari kutoka pande hizo mbili zikifika dar inasomekaje?

economies of scale. As far as unit cost of production is concerned, distance is nothing
 
Tanzania, kama zilivyo nchi wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC), zina wizara mahsusi zinazohusiana na mambo ya Jumuiya. Hapa kwetu wizara hiyo inaongozwa na Mzee Samuel Sitta. Hii ni wizara ya wananchi, kwa sababu hiyo, wana haki ya kujua kinachoendelea.
Kwa muda sasa kumekuwapo jumuiya ndani ya Jumuiya. Nchi tatu-Rwanda, Uganda na Kenya-zinaketi na kufikia makubaliano ya masuala mbalimbali. Tanzania na Burundi zimetengwa. Yote haya yanafanyika Mzee Sitta akiwa kimya kana kwamba hakuna kinachoendelea. Kuna habari kwamba tangu kuanzishwa kwa Bunge la EAC, amehudhuria mara moja tu. Pengine hii ndiyo sababu inayomfanya asijue kinachoendelea. Mzee Sitta ajitokeze awaeleze Watanzania ukweli wa mambo. Je, mambo ni shwari au si shwari? Kimya chake wakati wananchi wakihoji bila kupata majibu kina maana gani? Nani kamziba mdomo?

Nawasilisha.
 
Nadhani yuko busy ana deal na EL asije kumnyang'anya tonge mdomoni 2015

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
aongee asiongee yote sawa tumechoka na muungano feki
 
Kwanini mods kwaondoa habari inayohusu wasanii kujiunga na cdm, tunatakiwa tujadili lkn mods kafanya vice versa
 
Tanzania, kama zilivyo nchi wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC), zina wizara mahsusi zinazohusiana na mambo ya Jumuiya. Hapa kwetu wizara hiyo inaongozwa na Mzee Samuel Sitta. Hii ni wizara ya wananchi, kwa sababu hiyo, wana haki ya kujua kinachoendelea.
Kwa muda sasa kumekuwapo jumuiya ndani ya Jumuiya. Nchi tatu-Rwanda, Uganda na Kenya-zinaketi na kufikia makubaliano ya masuala mbalimbali. Tanzania na Burundi zimetengwa. Yote haya yanafanyika Mzee Sitta akiwa kimya kana kwamba hakuna kinachoendelea. Kuna habari kwamba tangu kuanzishwa kwa Bunge la EAC, amehudhuria mara moja tu. Pengine hii ndiyo sababu inayomfanya asijue kinachoendelea. Mzee Sitta ajitokeze awaeleze Watanzania ukweli wa mambo. Je, mambo ni shwari au si shwari? Kimya chake wakati wananchi wakihoji bila kupata majibu kina maana gani? Nani kamziba mdomo?

Nawasilisha.

Hili ni suala la Ikulu na Foreign Affairs kwanza, ndio baadaye Samuel Sita na Wizara yake.
 
Mkuu hakika tunatakiwa tupate kauli thabiti ya serikali. Kabla JK hajatolea haya matukio kauli inabidi waziri mwenye dhamana ya Ushirikiano wa Afrika Mashariki atoe kauli. Watanzania tunakuwa kama yatima; tunanyanyaswa mchana kweupe, tunakuwa kama dege lisiloliwa ama gendaeka huku viongozi wa serikali wamekaa kimya wanaangalia. Mambo yanaenda wakuu wanakutana bila wa kwetu kuwepo hata waziri sijasikia kualikwa! Mbona Mzee Sitta anakuwa mwepesi kutolea mambo mengine matamko inakuwa hilo ambalo liko chini ya uvungu wa wizara yake halitolei tamko?

Aaah Mh. Samwel Sitta jitokeze hadharani useme neno moja tu na roho za watanzania zitapata nafuu.

Hili ni suala la Ikulu na Foreign Affairs kwanza, ndio baadaye Samuel Sita na Wizara yake.

Mkuu kwa mujibu wa protocal ya EAC kila nchi ina wizara maalum ya kushughulikia mambo ya EAC peke yake. Hapa Membe na wizara yake mtakuwa mnamuonea tu. Hapa ni Mzee Sitta, kamanda wetu atoke hadharani atoe tamko thabiti.
 
Tanzania, kama zilivyo nchi wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC), zina wizara mahsusi zinazohusiana na mambo ya Jumuiya. Hapa kwetu wizara hiyo inaongozwa na Mzee Samuel Sitta. Hii ni wizara ya wananchi, kwa sababu hiyo, wana haki ya kujua kinachoendelea.
Kwa muda sasa kumekuwapo jumuiya ndani ya Jumuiya. Nchi tatu-Rwanda, Uganda na Kenya-zinaketi na kufikia makubaliano ya masuala mbalimbali. Tanzania na Burundi zimetengwa. Yote haya yanafanyika Mzee Sitta akiwa kimya kana kwamba hakuna kinachoendelea. Kuna habari kwamba tangu kuanzishwa kwa Bunge la EAC, amehudhuria mara moja tu. Pengine hii ndiyo sababu inayomfanya asijue kinachoendelea. Mzee Sitta ajitokeze awaeleze Watanzania ukweli wa mambo. Je, mambo ni shwari au si shwari? Kimya chake wakati wananchi wakihoji bila kupata majibu kina maana gani? Nani kamziba mdomo?

Nawasilisha.

nini vikao vya EAC, uliza wizarani anaingia ofisini mara ngapi?
 
Rais aseme hatuna ugomvi na Rwanda halafu Cabinet minister tena wa wizara ya EAC anakubali kuna ugomvi kati ya wanasiasa hawa wawili yaani Kikwete na Kagame !

Ina maana Sitta hafahamu kuwa hawa wanasiasa wawili ndio nchi zenyewe?
 
Back
Top Bottom