Samuel Sitta aonekana kulowa jasho!

Samuel Sitta aonekana kulowa jasho!

Sasa huyo Mzanzibari kama ulivyosema mbona anatoa uchafu kutoka kwenye pua yake hadharani? Au hiyo ndio tabia ya Unguja?

Aaaah Hapana bwana! Siyo kwamba jamaa kashika tama? Naona macho yako yana shida nenda Muhimbili haraka!
 
Sasa huyo Mzanzibari kama ulivyosema mbona anatoa uchafu kutoka kwenye pua yake hadharani? Au hiyo ndio tabia ya Unguja?

Mbona na huyo mTanganyika nae anaonekana hivyo hivyo.
 
kweli watu hamuoni, mna macho lakini hamuoni! amefanya nini tena mzanzibar wa watu?
pozi tu hilo!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom