Mwanamayu
JF-Expert Member
- May 7, 2010
- 11,701
- 6,936
Jamani naona kama Samuel Sitta amelowa jasho kutokana na hilo shati alilovaa. Je, katoka jasho kwa sababu ya hoja za wazanzibari? Je, ukumbi hauna Air con? Je, ni afya njema? Je, ni matumizi makubwa ya 'energy' katika kufikiri kuwa anachokifanya hapo ni usanii kwa kulazimishwa na chama chake? Je, hakupatiwa maji ya kunywa ya kutosha kama inavyoonekana kwa jamaa aliyekaa kulia kwake (Mzanzibari) ikiwa ni ishara ya kuvunja Muungano? Je, alitaka kuvua hilo shati maanake alikwisha anza kufungua vifungo/ vishikizo?