mkuu unaishi past, mimi ni kati ya watu ambao walikuwa wanarecomend simu za sony angalia post zangu za nyuma nyingi hasa xperia z3 compact ilikuwa ni moja kati ya simu bora zaidi za android kwa kipindi chake ila sasa hivi sony wapo ovyo, na mediatek si updates na custom rom tu kuna mambo mengi.
zamani sony walikuwa wakisifika kwa battery life ila sasa hivi ni kati ya simu zenye battery mbovu zaidi
compare na s7 edge
ukija kwenye display sijasikia kitu chochote kipya kwa sony zaidi ya ile display ya 4k ila sasa hivi note 7 imetoka na display ya hdr10 ambayo ni level nyengine compare na display ya kawaida.
ukija storage za simu sasa hivi ufs ndio zenye speed zaidi na zinatengenezwa na samsung
hebu niambie mkuu kitu gani sasa hivi sony ni leader kwenye simu? ukitoa sensor za camera