Samsung wazitangaza rasmi simu za Galaxy S7

Kwakweli anaefananisha Samsung na Tecno akapimwe akili
mkuu hatuwez kusifia kitu kimoja wote...usijione mawazo yaKO yawe sahihi kwa kila mtu,..
wewe unaona samsung ndo nzuri sio wote ndugu....
karibu sony market mkuu..............
 
iphone,sony,nokia hawa wote wana signature na huo ndo ukomavu,chukua s3 linganisha na s5,alaf s5 na s6
ni sdahihi mkuu,..samsung hizo tajwa znafanana sana
utakuta utofauti ni RAM na storage space2,....thy all the same
 
Samsung hawana jipya,mambo mengi wanayotoa alishatoa sony tangu tangu 2012,duniani kuna simu mbili tu nazo ni sony na nokia(r.i.p),na nokia wanarudi this year,nashangaa watu wanapenda umbo jipya kila toleo,s3 na s5 utadhan n manufacturer tofauti,hii ni dalili kuwa bado hawajakomaa,thats why ni rahisi kupata simu china kwa bei lakin zenye mwonekano sawa na samsung,kupata copy/fake ya sony z5 premium au nokia pure view ni ndoto
Umeongea kweli tupu bro mwambie joyce akusogezee castle mbili hapo bili kwangu, hawa jamaa ni copy cats wazuri wa invention za wenzao huku wakibadilisha makasha na size za screen tu sema yaonekana wameweka share kubwa katika kitengo chao cha masoko! Thus why wanawapiga pesa mambulula! Hizo camera zenyewe wanazoringia wananunua sensors kwa Sony.
 
Unaongea usicho kijua mkuu! Sony ni kampuni linalofanya vibaya sana sokoni huwezi mlinganisha na Samsung hata siku moja.

Teh teh teh! Huyo jamaa anaonekana hajui chochote kamua kuongelea vitu asivyo vijua.
Bwege huyo, well do you know the solid reason behind sony never excels in the market share cause im pretty sure it might be very far from your current thinkings.

Do you even dig why samsung's piece of technologies keep on grabbing the market shares as well in stiff competition with apple?

If you aren't digging any of the above questions answers then you better shut the fuckup!

Fuatilia kwanza ya kwanini TTCL ameshindwa kuteka soko kwa kipindi chote hicho nyuma kabla ya kuwa re-branded earlier mwaka huu ilihali yeye ndio aliwatangulia wenzake!
 
mkuu unaijua hii tecno???
njoo na evidence tafadhali...
76e86124a2ab481a9d723e9665f77d2bFS.jpg

Tecno-Phantom-5.jpg

mkuu tecno phantom kaa nayo mbali,...unajua ni phantom ngapi hiyo????
huwez linganisha na s4/5
never..............
Sony ndo balaaaa mkuu,..ni nxt level
samahani lkn ni mtazamo wangu...
usikariri mkuu simu nzr ni sams tu...nop ni tofauti
this is the world of competition..........
Tecno zinapata Joto mnoo ukishatumia sana
 
Kufananisha tecno na simu zenye akili ni ukosefu mkubwa. Ulaya ukisema unatumia tecno watajua msanii wa nigeria. Tecno duro
 
mkuu unaijua hii tecno???
njoo na evidence tafadhali...
76e86124a2ab481a9d723e9665f77d2bFS.jpg

Tecno-Phantom-5.jpg

mkuu tecno phantom kaa nayo mbali,...unajua ni phantom ngapi hiyo????
huwez linganisha na s4/5
never..............
Sony ndo balaaaa mkuu,..ni nxt level
samahani lkn ni mtazamo wangu...
usikariri mkuu simu nzr ni sams tu...nop ni tofauti
this is the world of competition..........

Tatizo watu wamezidi ushabiki, wanadhani kitu kikitumiwa na wengi ndio kizuri zaidi, Samsung is an overhyped piece of technology! Ngoja nikupe briefing ya SONY. Hawa jamaa wana legacy katika utengenezaji wa consumer products nzuri ikiwemo hizo simu. Walianzisha subsidiary ya Sony mobile communication inc. itakayoshughulika na utengenezaji wa simu muda mrefu tokea late 2001 wakafanya joint-venture na ericsson ili kuunda simu za sony ericsson kwa wale tulioanza tumia simu kipindi zimeanza kuingia tu bongo watakuwa wanaelewa mziki wa sony ericsson na jinsi walivyokuwa very innovative.

Kuanzia mwaka 2007 ndipo wale ma giants wa simu za mkononi ikiwemo Sony ndipo walipoanza kupata mapigo baada ya iphone 1 kuzinduliwa rasmi. Hali ilizidi kuwa mbaya mwaka 2009 ilipozinduliwa google android platform na makampuni mengine yakaibukia hapo akiwemo samsung ambae nae alitoa first android based smartphone galaxy gt-l7500. Ingawa Sony waliwahi ku adopt kwenye android ila tayari walikuwa washaanza kupoteza mvuto sokoni tokana na ushindani mkali toka iphone na samsung ikabidi wagangamale na kutoa Sony ericsson X10 mwaka huo huo then wakatoa x10 mini mwaka uliofuata zilikuwa simu kali sana kama kawaida yao!

Kihalisia naona kama ile joint venture iliokuwepo kati yao na ericsson ndio ilikuwa inawapa sana wateja na ilipoisha Sony hawaku renew tena mkataba hivyo ilibidi wa split out na wafanye re-branding ya simu zao toka "SONY ERICSSON" na kuziita "SONY XPERIA" mnamo 2012. Tokea hapo hata ile customer support waliokuwa wanaipata wateja enzi za sony ericsson ikawa imelega lega pia biashara imekuwa ikifanyika kimazoea sana ndio maana hata siku hizi huwezi kuona tangazo la sony katika tv yako! Sony hawajaconnect na wateja wao.
Na kupitia udhaifu huu ndipo samsung alipopenyea kibiashara na akafanikiwa kwa kiwango cha lami. Hali ya ushindani mkali ndio imewafanya sony wazidi kuburuzwa sokoni licha ya kuwa wanatengeneza products kali kuliko wapinzani wao.

Kinachowamaliza sony kwa ufahamu wangu wa masoko natanabaisha ni ile philosophical marketing concept wanayotumia sony.
Sony wanatumia "Product concept"- consumers will favor those products that offer the most quality, performance, or innovative features. Wanachoamini Sony ni kwamba ukishatengeneza simu kali watu watanunua tu kwa gharama yeyote kwa hivyo uwepo wake tu unatosha kuwafanya wanunue. This concept has really worked for years back kabla ya mapinduzi ya ios na google android maana Sony had their legacy. Ila kwa sasa inabidi wakubali kubadili hii concept wanayoendeshea biashara yao na watumie ''Selling concept'' ambayo ndio inaonekana kutumiwa na wapinzani kama samsung wanavyopiga hela.
Product concept only works for Apple's iphone kwa sasa na si kampuni nyingine yeyote kwa mtazamo wangu.
 
mkuu sony ndio ilikuwa kampuni kubwa ya semiconducter duniani ila sasa hivi ni samsung, zunguka unavyozunguka ongea unaloongea ila jua
1. ram ya simu yako kuna asilimia kubwa inatoka samsung
2. internal storage ya simu yako imetoka samsung
3. kama ni display ya amoled au oled kuna uwezekano ni ya samsung
4. processor (soc) za snapdragon za 14nm, za apple, na exynos zote zipo manufactured na samsung.

samsung kuna maeneo hawapo vizuri ila kuwaita hyped ni tusi kwa technology hasa kwenye mambo hayo hapo juu, ukimtoa intel ambaye ana mitambo ya kisasa ya kuzalisha vitu, samsung na TSMC ndio wanafuatia na intel hazalishi sana kwenye simu hivyo samsung ndio anazalisha technology hizo kwa wingi.

pia sony amepoteza dira toka 2014 umeona simu za sony za karibuni, zinatia huzuni kusema kweli, battery life mbovu, processor za mediatek, hazina chochote kipya nakushauri pitia site kama gsmarena angalia simu kama xperia xa, na line nzima ya xperia x ambayo ndio mpya ya 2016 halafu nambie kama sony ana kipya
 
Chief mkwawa wewe ni mtaalamu na mimi sijuhi kitu kuhusu kuhusu tech,ila kusema sony wamepoteza dira sikuungi mkono,kwanza uko biased kwenye soc,watu hawaipend mediatec kisa haina developer wengi,nan anahtaji custom rom akiwa na sony au moto? Hayo n kwa watumiaj wa tecno ambao hawapat updates,mediatec zna matatzo ila hata sd zna matatzo,samsung ni wezi,nilikuwa na s6 edge,nikipga picha kwenye hyo simu inaonekana nzuri sana kwenye kioo cha samsung,ukiituma kwenye simu nyingne inakuwa mbaya mno,hata ukiiweka kwenye pc n vle vle,mimi simu ambazo ni wakwel kwangu ni sony,iphone na motorola.achana na reviews,chukua samsung s7 moja weka sd 820 nyingne 652 alaf leta tofaut hapa,hii specs race haitupeleki popote,na ni vita ya wachina
 
mkuu unaishi past, mimi ni kati ya watu ambao walikuwa wanarecomend simu za sony angalia post zangu za nyuma nyingi hasa xperia z3 compact ilikuwa ni moja kati ya simu bora zaidi za android kwa kipindi chake ila sasa hivi sony wapo ovyo, na mediatek si updates na custom rom tu kuna mambo mengi.

zamani sony walikuwa wakisifika kwa battery life ila sasa hivi ni kati ya simu zenye battery mbovu zaidi
gsmarena_002.jpg

compare na s7 edge
gsmarena_001.jpg

ukija kwenye display sijasikia kitu chochote kipya kwa sony zaidi ya ile display ya 4k ila sasa hivi note 7 imetoka na display ya hdr10 ambayo ni level nyengine compare na display ya kawaida.

Note-7-HDR.jpg

ukija storage za simu sasa hivi ufs ndio zenye speed zaidi na zinatengenezwa na samsung

hebu niambie mkuu kitu gani sasa hivi sony ni leader kwenye simu? ukitoa sensor za camera
 
mkuu sony ndio ilikuwa kampuni kubwa ya semiconducter duniani ila sasa hivi ni samsung, zunguka unavyozunguka ongea unaloongea ila jua
1. ram ya simu yako kuna asilimia kubwa inatoka samsung
2. internal storage ya simu yako imetoka samsung
3. kama ni display ya amoled au oled kuna uwezekano ni ya samsung
4. processor (soc) za snapdragon za 14nm, za apple, na exynos zote zipo manufactured na samsung.

samsung kuna maeneo hawapo vizuri ila kuwaita hyped ni tusi kwa technology hasa kwenye mambo hayo hapo juu, ukimtoa intel ambaye ana mitambo ya kisasa ya kuzalisha vitu, samsung na TSMC ndio wanafuatia na intel hazalishi sana kwenye simu hivyo samsung ndio anazalisha technology hizo kwa wingi.

pia sony amepoteza dira toka 2014 umeona simu za sony za karibuni, zinatia huzuni kusema kweli, battery life mbovu, processor za mediatek, hazina chochote kipya nakushauri pitia site kama gsmarena angalia simu kama xperia xa, na line nzima ya xperia x ambayo ndio mpya ya 2016 halafu nambie kama sony ana kipya
Hata mimi nilishangaa sana nilipoangalia specs za Xperia XA na kukuta zinatumia chipset za mediatek.
 
na bora wangetumia mediatek zenye cortex a72 kama helio x20 wanatumia zile zenye cortex a53 ambazo hazina issue.
 
Mimi ni addicted wa big battery phones,Samsung katika smartphone zake zote,simu iliyofunika kwa betri ni s7 active,ana 5.1" na 4000mAh,hatari.
 
Mkuu hata mediatek sasa wanapokea upgrade ya OS
mkuu sasa hivi watu wameshahama kwenye update moja kubwa tupu, kuna kitu kinaitwa monthly security update simu zote kubwa zinapata na hata wachina wenye akili kama oneplus, huawei (honor) na xiaomi wanatoa hizi monthly update.

unafikiri kwanini mitaani kwetu simu zimejaa virusi na hapa jukwaani kesi za matangazo na monkeytest haziishi? ni bug ya mediatek toka kipindi cha kitkat malware wanajipa root acess kupitia loopholes za mediatek. ingekuwa kuna monthly updates watu wasingehangaika namna hii.
 
Back
Top Bottom