Pancras Suday
JF-Expert Member
- Jun 24, 2011
- 8,144
- 3,848
The same song but different melody, sioni jipya hapa labda kidogo LG wameniimpress na LG G5 ambayo ni module phone, tusubiri Sony na HTC tuone nao watakuja na nini amazing
Samsung ni jipuSamsung wameshatoa mzigo wa sumsung galaxy s7 mzigo hatari na matata kabisa huku ukiwa na battery la 3000mah.
======
Kampuni ya Samsung imezitangaza rasmi simu za Galaxy S7 na S7 edge kwenye tukio la tamasha a simu liliofanyika mjini Barcelona nchini Hispania ambapo mwanzishi wa Facebook, Mark Zuckernberk alishitukiza wahudhuriaji kwa kutokea bila kutarajiwa na kuongelea ushikiano na Samsung katika baadhi ya technolojia.
Kama ilivyo ada toleo jipya huja na maboresho kulingana na tokeo la nyuma yake na Samsung wameweza kufanya kweli kwenye simu zao mpya hasa ukiinganisha na mshindani wake mkuu kwa sasa Apple ambae anatoa simu za iPhone.
Kutoingia Maji: Samsung wamesema Galaxy S7 haiingizi maji kwa kiwango cha IP68 ambapo maji wala vumbi hayaingii ikimaanisha inaweza kwenda chini ya maji zaidi ya mita moja na kukaa humo kwa angalau nusu saa bila kudhurika.
Unaweza kuongeza uhifadhi kumbukumbu wa simu mpaka GB 200 na inawekwa kwenye trey inayowekwa kadi ya simu.
Betri kubwa: Galaxy S7 ikiwa na betri ya 3,000 mAh na edge ikipachikwa betri ya 3,600 mAh wakimuacha iPhone akiwa na betri zake za 1,715 na 2,750 mAh kwa simu zake hivyo kuwa na uwezekano wa kukaa zaidi.
Pamoja na hayo pia samsung wameweka kamera ambayo inaweza kulinda ubora wa picha zinazopigwa kwenye mwanga hafifu.
Pamoja na mazuri yake mengi yaliyoongezwa kwenye uwezo wa simu lakini samsung wamebaki na muundo unaofanana sana na wa kale kitu ambacho kinaweza kisiwasisimue sana wateja wanaojali matoleo kwa kuangalia.
hiyo ndo biznes,...simu ni saony z3 tu.....Z versionSamsung wamezidiii nao ah kila siku simu mpya
ila zipo mkuu...ila sony hawana mwendelezo wa Z version tena...........sony
Duh! Huo ni ushabiki mavi sasa, sijawahi tumia samsung lakini hiyo comparison yako iko very wrong kabisa aisee.mtu aliyetumia sony never hawez kuwaelewa samsung,
maana samsung ni=na tecno,huawei itel tachi nk
sony ni nxt level............
mkuu kma hujawai kutumia samsung kaa kimya sasa unabisha nini wakati huna evidence,....Duh! Huo ni ushabiki mavi sasa, sijawahi tumia samsung lakini hiyo comparison yako iko very wrong kabisa aisee.
I'm sure 100%
Issue sio kutokuitumia. Mim ninachofahamu processor za samsung ziko very strong sio kama hizo za mediatek(tecno, itel n.k) unazozicompare nazo.mkuu kma hujawai kutumia samsung kaa kimya sasa unabisha nini wakati huna evidence,....
teh mkuuIssue sio kutokuitumia. Mim ninachofahamu processor za samsung ziko very strong sio kama hizo za mediatek(tecno, itel n.k) unazozicompare nazo.
Kweli kabisa mkuu iko juu ya Itel, techno na NOKLA sio NOKIABlackberry bado ipo juu
teh tehKweli kabisa mkuu iko juu ya Itel, techno na NOKLA sio NOKIA
Haaaah zipo juu kwa lipi kutumiwa na wabongo au ni bora nitumie Nokia torch ila sio izo simu za teknoteh mkuu
kuna tecno ziko vzur kuliko samsung,...unajua hilo????
Kila siku au kila mwaka? Samsung wana series tofauti za simu na kila series wanatoa toleo jipya mara moja kwa mwaka, na hiyo ni kwa makapuni mengi ya simu.Samsung wamezidiii nao ah kila siku simu mpya
mtu aliyetumia sony never hawez kuwaelewa samsung,
maana samsung ni=na tecno,huawei itel tachi nk
sony ni nxt level...........
Duh! Huo ni ushabiki mavi sasa, sijawahi tumia samsung lakini hiyo comparison yako iko very wrong kabisa aisee.
I'm sure 100%
MhhKweli kabisa mkuu iko juu ya Itel, techno na NOKLA sio NOKIA
Watu wengine mnapenda sana ligiteh mkuu
kuna tecno ziko vzur kuliko samsung,...unajua hilo????
baada za ya z3 kuna z4 ambayo ilitoka tu japan na kuna z5 na z5 compact ambazo zipo dunia nzimaila zipo mkuu...ila sony hawana mwendelezo wa Z version tena...........
z3 ndo mwsho kitu ka hiko...
z5 huwa za kichina zile mostly