Samsung wanatuletea tena GALAXY S5 ....... Monday 24 february 2014

snipa

JF-Expert Member
Joined
Dec 10, 2013
Posts
4,523
Reaction score
2,165
gsmarena_001.jpg

.
Samsung announced the time and
date of its next Unpacked event.
.
The Korean giant’s next major
mobile product announcement will
take place this month, on February
24 in Barcelona, right at the MWC
kickoff.
The invitations contain more than a
subtle hint that the Samsung
Galaxy S5 will break cover during
the event.

.
https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...hwe-kinachojiri-kwa-sms-bure-mwaka-mzima.html
.
They have the number 5
on display which is as clear a
suggestion as it gets in our book.
A potential appearance of the
Samsung Galaxy S5 during the
Mobile World Congress guarantees
it a great deal of spotlight.
Samsung was relatively quiet
during last year’s MWC and did not
announce any flagship products.
Rumored specs of the Samsung
.
Galaxy S5 include a 2K display and
16MP f/2.2 camera. The
smartphone is tipped to launch
with a revamped TouchWiz user
interface sitting on top of Android
4.4 KitKat.

.
.
https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...hwe-kinachojiri-kwa-sms-bure-mwaka-mzima.html
.
 
Prepare your 1M to waste on a smartphone. Hii simu lazima utaambiwa laki 8 kwenda juu. Wale wa "Kipendacho roho" hii simu itawafaa. Samsung wanatengeneza bidhaa bora, tatizo bei yao.
 
Mi na Nokia yangu tulikuwa Dubai tukawaletea Phablet.
 
Lumia nn hiyo
.
Mana samsung wanakuja na windows 8.1 kwenye Samsung SM-W750V Huron
.
 
tarehe 24 ni mwc si samsung tu ni manufacture wote watakua pale. hio ni sabasaba ya simu.
 
Vipi iPhone 6 inakuja lini...na nikweli itakua ka inavyotangazwa YouTube au ni mbwembwe tu
 
Iphone 6 inakuja kaka
.
Inaweza ikaja june 2014
.
Japo zote ni leaked information ndomana hata hizo specifications za Galaxy S5 hazijatoka rasmi na huwezi kuzikuta arena wanasubili mpaka watakapo i lunch barcelona
 
Kama hizo leaked specifications za iPhone 6 zitakua ni za mkwe...OMG iPhone6 itakua ndio the smartest phone the world ever seen
 
Mbeky the iFan Boy.. kipi kimekutisha katika i6 mkuu?
 
Last edited by a moderator:

Dah vitu vingi aissee...mkuu Secret Service we pitia YouTube kidogo uone maajabu ambayo Apple Inc. wanataka kuleta...kama ni mfatiliaji wa movie utakua unaijua Iron man 3 sa ile sayansi ya computer sijui zinaitwa 3D holographic images..vitu vinadisplay hewani afu bado unaweza touch...mmmh wasukuma wanasema mashikolo mageni...
Bado simu yako unaweza igeuza kuwa computer projector...so you don't need to move with your Mac tena..ni unaiweka simu yako mezani inaproject computer display ukautani afu kwny meza inaproject keyboard unaanza fanya kazi zako...duh
Bado sijui itakua na high scratch resistance kwa kwa kuwekewa Sapphire coated glass which is more twice as durable and strong than Corning's Gorilla Glass.
Swala la battery sio tatizo tena display yake itakua na solar layers means ukiachilia mbali charging system ya kawaida itakua pia solar charging system.
Touch ID fingerprint hamna haja ya password tena...ataweza kukuibia na kuitumia basi huyo anaweza iba hata bank..kibaka wa kitaa hii sio simu ya kuiba.
Nasikia itakua na uwezo wa kuwa transparent(ingawa binafsi sina uhakika kama hiki kitu ni possible kwa kipindi hiki) but who knows wazungu wanauchawi mwingi.
Mkuu mi nakushauri pitia tu YouTube ukajionee na mzigo unaingia sokoni mwaka huu 2014
 
Last edited by a moderator:
Itakuwa balaa sanaa ! Lakini sizipendi tu Apple products kama nnavyouchukia tu mtandao wa Tigo. Sijui hata ni kwanini ?
 
Dah vitu vingi aissee...mkuu Secret Service we pitia YouTube kidogo uone maajabu ambayo Apple Inc. wanataka kuleta...kama ni mfatiliaji wa movie utakua unaijua Iron man 3 sa ile sayansi ya computer sijui zinaitwa 3D holographic images..vitu vinadisplay hewani afu bado unaweza touch...mmmh wasukuma wanasema mashikolo mageni...
Bado simu yako unaweza igeuza kuwa computer projector...so you don't need to move with your Mac tena..ni unaiweka simu yako mezani inaproject computer display ukautani afu kwny meza inaproject keyboard unaanza fanya kazi zako...duh
Bado sijui itakua na high scratch resistance kwa kwa kuwekewa Sapphire coated glass which is more twice as durable and strong than Corning's Gorilla Glass.
Swala la battery sio tatizo tena display yake itakua na solar layers means ukiachilia mbali charging system ya kawaida itakua pia solar charging system.
Touch ID fingerprint hamna haja ya password tena...ataweza kukuibia na kuitumia basi huyo anaweza iba hata bank..kibaka wa kitaa hii sio simu ya kuiba.
Nasikia itakua na uwezo wa kuwa transparent(ingawa binafsi sina uhakika kama hiki kitu ni possible kwa kipindi hiki) but who knows wazungu wanauchawi mwingi.
Mkuu mi nakushauri pitia tu YouTube ukajionee na mzigo unaingia sokoni mwaka huu 2014

.
Kaka unaweza pia ukaona maajabu mwakani kwenye Iphone 7 ambayo inaweza kuwa na 13MP.....
.
Na tusipo angalia tutakuwa tu maskin mana kila mwezi utasikia simu hii kama tungekuwa ulaya MICROSOFT wana nunua used smartphones at $250
.
 
Mi wameni-disappoint kitu kimoja tu, nasikia ina screen ya 5.24"na mimi si muumini wa screen kubwa
 
Prepare your 1M to waste on a smartphone. Hii simu lazima utaambiwa laki 8 kwenda juu. Wale wa "Kipendacho roho" hii simu itawafaa. Samsung wanatengeneza bidhaa bora, tatizo bei yao.

Kwa hiyo unataka kitu bora kwa bei rahisi we vip
 
Samsung wanakera sana...yani S4 yangu inaonekana old tena?
Biashara hiyo,na bado,yaani watakuwa wanaongeza vitu kidogo tu,wanatoa nyingine hapo wenzenu wana vision ya mpaka S20,hahahahahah
 
Back
Top Bottom