Samsung wametoa Galaxy Note Edge flagship

nimeona ktk mtandao fulani huko makao makuu ya apple watu kadhaa wanashinda nje wakisubiri iphone 6 itoke ili wawe wa jwanza kuimiliki.tehetehe
 
Galaxy note 4 haina jipya, ila hii note 4 edge imeleta innovation kidogo hapo kwenye hiyo curved screen. ingawa kwa left ended ni useless,,,, ,, kila mtu macho na masikio hadi sasa ni tar 9 sep, Apple akichemka tu hii note edge ndio simu ya mwaka ikifuatiwa na LG g3,,, . ila IFA kabla haijaisha nangoja Lumia series nione maana Nokia by Microsoft brand imetuhaidi "SuperMan" Cc: chief-mkwawa

Watu mko vzur jamaniiii. .
 
nimeona ktk mtandao fulani huko makao makuu ya apple watu kadhaa wanashinda nje wakisubiri iphone 6 itoke ili wawe wa jwanza kuimiliki.tehetehe

Mkuu hilo ni kweli kbs, yani j4 watu watapanga foleni (niliona mwaka jana kwenye ip5), uzuri wake hawana umaskini ka sisi! Sisi utamaduni huo hatuna na pesa pia mawazo
 
msigwa ukiona wanavyopigwa na baridi kali hadi utawaonea huruma.naona hawana jazi za kufanya.mimi hata kama ingekuwa zinatolewa bure nisingeweza
 
Mkuu hilo ni kweli kbs, yani j4 watu watapanga foleni (niliona mwaka jana kwenye ip5), uzuri wake hawana umaskini ka sisi! Sisi utamaduni huo hatuna na pesa pia mawazo

foleni imeanza toka juzi mkuu!
 
kumbe s5 haikuwa flagship ya samsung mwaka huu,maana karibu flagship zao zote zipo ktk serie ya s. s3,s4
 
chief mkwawa you meant kumbe note zote ni phablet na s zote ni smartphone?

note zote ni phablets ndio zinakuwa kubwa na ni ngumu kutumia kwa mkono mmoja. zinakuja na kalamu na zinauwezo wa kurun app mbili kwa mpigo.
 
asante chief kwa elimu.basi mimi nilidhani flagship inakuwa moja tu kwa mwaka.basi samsung wametoa flagship 2 mwaka huu yaani s5 mwezi wa2 na mwezi huu note edge
 
Back
Top Bottom