Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 32,065
- 43,496
asante chief kwa elimu.basi mimi nilidhani flagship inakuwa moja tu kwa mwaka.basi samsung wametoa flagship 2 mwaka huu yaani s5 mwezi wa2 na mwezi huu note edge
pia sio lazima flagship itoke mara moja kwa mwaka sony yeye anatoa mara mbili. mwaka jana katoa xperia z na z1 na mwaka huu katoa z2 na z3. zote zilikuwa flagahip. makampuni kama huawei na lenovo wanatoa hadi flagship 5 kwa mwaka.