Samsung wametoa Galaxy Note Edge flagship

Samsung wametoa Galaxy Note Edge flagship

iPhone 6 haina jipya mpenzi wangu, nimeshakufanyia preorder ya galaxy note edge, nataka ofisini mpaka bosi akiiona anune

Uuuuuuuuwwwwwiiiiiiiiiii... Taratibu, unataka nipewe redundancy, make niliponunua ile niliyonayo nilipewa verbal warning. Angalia isifatie barua kabisa!
 
Naona ili Jukwaa limeanza michepuko, ni vyema likabaki njia kuu.
 
Back
Top Bottom