Obugwa Izoba
JF-Expert Member
- Nov 16, 2013
- 10,467
- 11,641
Simu ni Nokia vingine vyote pembeni
Galaxy note 4 haina jipya, ila hii note 4 edge imeleta innovation kidogo hapo kwenye hiyo curved screen. ingawa kwa left ended ni useless,,,, ,, kila mtu macho na masikio hadi sasa ni tar 9 sep, Apple akichemka tu hii note edge ndio simu ya mwaka ikifuatiwa na LG g3,,, . ila IFA kabla haijaisha nangoja Lumia series nione maana Nokia by Microsoft brand imetuhaidi "SuperMan" Cc: chief-mkwawa
die hard wa apple walishaanza kupanga foleni tayari, mimi pia ni die hard wa apple lakini kwa leaks nazoziona mitandaoni kama ndiyo wanabadili design kiasi hicho basi watanikosa, nitabaki na 5s yangu na nitanunua note edge maana imenivutia
Apple huwa hawachemki, yaani iphone huwezi linganisha na any other smartphone.
Inatumia OS ipi? Vipi kuhusu ukubwa Wa betri ni mAh ngapi?
around 1.2mi phone 5s mpya bei gani dukani?
simu hii ina uwezo wa kugeuka side zote, na ina uwezo wa kudetect kama wewe ni left hand user ama la kwa jinsi ambavyo unaitumia home button kila mara, baada ya muda ina ji set yenyewe, so hawajachemka kwa left handsGalaxy note 4 haina jipya, ila hii note 4 edge imeleta innovation kidogo hapo kwenye hiyo curved screen. ingawa kwa left ended ni useless,,,, ,, kila mtu macho na masikio hadi sasa ni tar 9 sep, Apple akichemka tu hii note edge ndio simu ya mwaka ikifuatiwa na LG g3,,, . ila IFA kabla haijaisha nangoja Lumia series nione maana Nokia by Microsoft brand imetuhaidi "SuperMan" Cc: chief-mkwawa
WAHEED SUDAY na yeye hawajamsahau na z3 compact
safari hii kuna kila dalili ya kuchemka, mimi ni apple kufa kupona, lakin hapa naona kila dalili za kuzidiwa kete upande wa design.
Kwanza tu kuiga phablets keshachemka, achukia masimu makubwa!
| Samsung Galaxy Note 4 | LG G3 | Sony Xperia Z3 | |
|---|---|---|---|
| Dimensions | 6 x 3.1 x 0.34 inches (153.5 by 78.6 by 8.5mm) | 5.76 x 2.94 x 0.35 inches (146.3 x 74.6 x 8.9mm) | 5.75 x 2.83 x 0.29 inches (146 x 72 x 7.3mm) |
| Weight | 6.2 ounces (176g) | 5.26 ounces (149g) | 5.36 ounces (152g) |
| Display | 5.7-inch Quad HD Super AMOLED (2,560x1,440) | 5.5-inch Quad HD LCD (2,560x1,440) | 5.2-inch 1080p HD LCD (1,920x1,080) |
| Pixel density | 515 ppi | 538 ppi | 524 ppi |
| OS | Android 4.4, TouchWiz | Android 4.4.2, custom UI | Android 4.4.4, custom UI |
| Camera, video | 16-megapixel; 4K video (3,840x2,160) | 13-megapixel; 4K video (3,840x2,160) | 20.7-megapixel; 4K video (3,840x2,160) |
| Front-facing camera | 3.7-megapixel, wide-angle selfie | 2.1-megapixel | 2.2-megapixel |
| Processor | 2.7GHz Snapdragon 805 or 1.9GHz octa-core chipset | 2.5GHz quad-core Snapdragon 801 | 2.5GHz quad-core Snapdragon 801 |
| RAM | 3GB | 3GB | 3GB |
| Capacity | 32GB | 32GB | 16GB |
| Extra storage | Up to 64GB | Up to 128GB | Up to 128GB |
| Battery | 3,300mAh | 3,000mAh | 3,100mAh |
| Colors | White, black, gold, pink | Black, white, gold, violet, red | White, black, copper, mint green |
| Waterproof? | No | No | Yes |
| Extras | Heart-rate monitor, fingerprint scanner, stylus | Rear controls, knock code, laser camera focus | Play PS4 games |
...angaikeni = hangaikeni.
Haya tena wale wapenzi wa teknolojia hasa gajeti, leo Samsung wamezindua flagship yao kutoka familia ya Galaxy note amabyo inakwenda kwa jina la Samsung Galaxy Note edge.
Simu hii ina kioo klichojikunja tofauti na flat screen tulizozoea, kwa sasa hii ndio highest end phone kutoka Samsung.
![]()
Note Edge ina sifa zifuatazo, inaelekea kufanana kiasi na ndugu yake Note 4. Yenyewe ina metallic design, It has the same soft-touch back, blissfully without the fake stitching. Ina kamera yenye 16-megapixel, heart-rate monitor, processor, memory, software, Multi Window feature, kila kitu kama ndugu yake note 4.
![]()
Kwa sasa hii ndio simu kutoka samsung yenye nguvu kuliko simu zote. Ina Quad HD, 2560 x 1440 display kama kwenye Note 4, Ila hii kioo chake ni kidogo kidooogo ambayo ni inchi 5.6 tofauti na 5.7 ya note 4.
Wakati huo huo
Sony nao wamezindua familia ya simu na tablet za Z3 ambazo ni xperia z3, z3 compact na Z3 tablet compact
![]()
![]()
vyanzo: theverge.com
mweee hayo makeke ya display sijayapenda maana wife atakua anakulia chabo vizuuri...
Tarehe 9/9 apple wanarusha iPhone 6 version mbili. Kubwa 5.7 na ndogo yake, bei ni $1100
Umenitangulia kaka,nilitaka kusema kuwa nasubiri huo mzigo kama muendelezo wangu kumuenzi Jobs. Nina iphone 5,,macbook pro,,ipad 2,,sasa nasubiri huo mzigo.
Galaxy note 4 haina jipya, ila hii note 4 edge imeleta innovation kidogo hapo kwenye hiyo curved screen. ingawa kwa left ended ni useless,,,, ,, kila mtu macho na masikio hadi sasa ni tar 9 sep, Apple akichemka tu hii note edge ndio simu ya mwaka ikifuatiwa na LG g3,,, . ila IFA kabla haijaisha nangoja Lumia series nione maana Nokia by Microsoft brand imetuhaidi "SuperMan" Cc: chief-mkwawa
Umenitangulia kaka,nilitaka kusema kuwa nasubiri huo mzigo kama muendelezo wangu kumuenzi Jobs. Nina iphone 5,,macbook pro,,ipad 2,,sasa nasubiri huo mzigo.