Samsung vs apple...nani zaidi??????

Samsung vs apple...nani zaidi??????

Inajulikana mkuu... iFans wakikusikia unawadhalilisha kwa kuwashindanisha na Phandroid wataandamana..
 
kwa upande wa software samsung ni zaidi kwa os yake ni free na ni easy kuingiliana na device nyingi na applications nyingi, tofauti na apples ni monopoly ni wao na software za na device zao.


kwa upande wa hardware durability apple zaidi..!!

sasa kupanga ni kuchagua unataka durability device, au unataka easy integrations device?
 
Samsung galaxy all types nouuma,apple dont like it.Hazikai na charge not durable
 
Apple ndo mambo yote, samsung wachovu tu.
japo iphone is uncomfortably small, i wish ingekuwa kubwa kiasi kama mini galaxy ama hata galaxy tab. :cheer2:
 
kwa upande wa software samsung ni zaidi kwa os yake ni free na ni easy kuingiliana na device nyingi na applications nyingi, tofauti na apples ni monopoly ni wao na software za na device zao.


kwa upande wa hardware durability apple zaidi..!!

sasa kupanga ni kuchagua unataka durability device, au unataka easy integrations device?

Mkuu kwa software sio kweli android wana market ya kihuni sana app 100 zinazofanya kazi 1 ndo walivo creativity ndogo na apps za kijinga.

Still kwenye apps apple yupo juu app zake hazina malware na virusi compare na android
 
Apple ndo mambo yote, samsung wachovu tu.
japo iphone is uncomfortably small, i wish ingekuwa kubwa kiasi kama mini galaxy ama hata galaxy tab. :cheer2:

Mkuu galaxy tab ni tablet so kwa upande wa apple kama unataka tablet zinaitwa ipad zipo ipad za nchi 10 na ndogo za inch 7 kama ilivo kwa galaxy tab
 
Back
Top Bottom