Samsung S9, note 8 na A50

Hapa nimekusoma sawasawa, zinakuwa na matatizo gani simu za aina hiyo!
1. Ngumu kupata updates
2. Hujui kwanini ilirudishwa na kutengenezwa tena, ama kama ilitengenezeka vizuri. Hapa ndio unakuta simu muda wote inapata joto ama haikai na chaji.
3. Inaweza kuwa na lugha za kigeni.
4. Bands chache ikawa haishiki 4g ama 3g.
5. Haishiki network vizuri etc
 
Ila refurb zinaweza kuwa pasua kichwa hujui kwanini ilirudishwa na kutengenezwa tena. Simu nyengine hazitengenezeki.
asante sana, kuna jamaa alinipanga kwamba asilimia kubwa wengi huchukulia simu zao China ila yeye huchukulia Vietnam ambazo ni bora zaidi na anadai ni mpya kabisa.. Hii logic unaionaje
 
asante sana, kuna jamaa alinipanga kwamba asilimia kubwa wengi huchukulia simu zao China ila yeye huchukulia Vietnam ambazo ni bora zaidi na anadai ni mpya kabisa.. Hii logic unaionaje
Logic hapo ni Location tu ya refurb. Sijajua vietnam soko lipoje ( pengine hata jamaa yako muongo) ila kwa china refurb zao nyingi ni za Korea na Usa.

Nchi za Sea (south east Asia) nimeangalia Indo, Malyasia, philipines etc hawa refurb zao ni docomo (japan).

Ila mwisho wa siku refurb ni refurb, una beti tu, unaweza pata simu nzuri ama mbaya.
 
Niliwahi nunua Note 5 yenye model number ya HongKong.. ilikuwa inashika 4G dar pekee.. maeneno mengine yote ni E baada ya kuflash ikaacha na kusoma line kabisa!
Ina maana 3g yake ni ile Cdma ya china, simu za mitandao isiyo ya Gsm hufanya hivi, hata za Verizon na sprint Usa zinafanya pamoja na T-mobile.
 
Logic hapo ni Location tu ya refurb. Sijajua vietnam soko lipoje ( pengine hata jamaa yako muongo) ila kwa china refurb zao nyingi ni za Korea na Usa.

Nchi za Sea (south east Asia) nimeangalia Indo, Malyasia, philipines etc hawa refurb zao ni docomo (japan).

Ila mwisho wa siku refurb ni refurb, una beti tu, unaweza pata simu nzuri ama mbaya.
asante sana masta nimekusoma!
 
Hizo za kariakoo ni refurbished tu...box wanauza separate watakufungia full box uone ni mpya...
Kuhusu a50,note 8 na s9..kama unajua kukagua simu vzr na ukabahatika kuipata note 8 na s9 iliyotulia basi umeula..

Ila kama hutak kesi za refubished basi chukua zako a50 tu...

Ila s na note hizo ndio beast
 
Mkuu usidanganyike hakuna s8 wala s9 mpya unaweza kuipata kwa sasa hapo chukua A50 hiyo ni mpya kabisaa na bado refurb zake hazijaanza kuingia sokoni
Ila kama unapenda flagship note na s series kwa 8 na 9 jaribu kuchukua used kwa jamaa wanaouza toka sauz ama europe na inabidi pia uwe na uwezo wa kutambua refurb na copy
 
Natumia A50 toka mwaka jana haina tofauti na tecno. Sema brand tu ndo nimenunua japo kukwepa dharau
Duuh ulikwepa dharau ila umeidharau A50 kuilinganisha na Spark6
20201123_211453.jpg
 
Natumia A50 toka mwaka jana haina tofauti na tecno. Sema brand tu ndo nimenunua japo kukwepa dharau

wewe hii simu yako kama hujapigwa kopy sijui.

yaani hata mwenye a30 hawezi andika ulichoandika hapa,sembuse a50!!!!

embu tuma screenshot,setting-about phone,muda huu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom