Samsung s3 haiwaki

Samsung s3 haiwaki

Infopaedia

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2011
Posts
1,234
Reaction score
1,503
Wadau, Samsung s3 haiwaki. Battery ina charge, nikiweka kwenye simu nyingine inawasha vizuri. Lakini nikiirudisha kwangu haiwashi. Nimempa fundi anasema niipeleke Samsung wakanisaidie ku-boot. Kabla sijapeleka Samsung, kama kuna mdau anayeweza kunipa njia tofauti naomba anisaidie.
 
Jamani! Ndiyo mvua zimewazuia kutoa msaada...... au hakuna msaada?
 
Hiyo haina ujanja hadi ukaonane na hao samsung
 
Eka battery yako yenye charge, chomeka usb cable kwenye pc halafu washa kama simu itakuwa detected then display ya simu ina matatizo kama haiwi detected then kuna tatizo jengine.

Pia kama hujaeka key wakati wa kuboot utaweza ona mafile ya simu kama ni nzima
 
Asante mkuu. Nitajaribu nipate jibu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom