Teknolojia ni Yetu sote
JF-Expert Member
- Apr 28, 2020
- 445
- 754
๐จ๐ป๐ฎ๐๐๐บ๐ถ๐ฎ ๐ฆ๐ฎ๐บ๐๐๐ป๐ด
Kama unatumia Samsung Kuna ujumbe wako muhimu sana kwa usalama wa data Zako ? Leo nakufunza jambo muhimu la kufanya ili kuwa salama.
Inawezekana umepeleka simu kwa fundi alafu utaki taarifa zile Zako nyeti zisambae utafanyaje? Unajua Kuna wakati unaweza peleka simu kwa fundi akutengeneze ila kuna vitu vya siri upendi fundi havijue kukuhusu wewe.
Kuna baadhi ya fundi ufikia hatua mpaka kupekua pekua simu kutaka kujua kilichopo ndani ? Relax Samsung Wana feature inaitwa maintenance mode unaijua?
Najua wengi ndo mnaisikia hii !! Maintenance mode ni feature iliyoletwa kwenye simu za Samsung ili kulinda data Zako wakati simu yako Iko kwa fundi inafanyiwa malekebisho kadhaa.
Feature hii inakusaidia kuweza kuficha data Zako zisionekane kwa fundi yoyote yule atakayeshika simu yako wakati anaitengeneza. Sio lazima u format simu yako hapana unaweka tu mfumo wa maintenance mode basi simu yako inaonekana mpya kama imetoka kununuliwa.
Maintenance mode inakusaidia kuzuia mafundi wakishika simu yako washindwe
โข kuangalia email akaunti yako
โข picha Zako pamoja na file Zako
โข baadhi ya taarifa za siri zilizopo kwenye simu yako inakusaidia kuzipata data Zako kuwa salama.
Ingia setting kwenye simu yako ya Samsung>>battery & device care >>maintenance mode Iko chini kabisa utaiona weka on Kisha inabidi uzime na kuwasha simu yako. Utaweza kufanya backup ya data Zako kabla ya yote ili kuhifadhi taarifa Zako muhimu.
Jinsi gani ya kuondoa maintenance mode kwenye sehemu ya notification shusha utaona neno maintenance mode is running gusa utaweza ku exit (kutoka kwenye mfumo wa maintenance mode)
Utaweza kuondoa kwa kuweka fingerprint au password kama ni wewe kweli unataka kuondoa huu mfumo kwenye simu yako.
Vipi ulikua unajua hii au ndo unasikia Leo simu yako inayo hii feature ya maintenance mode au tuje na njia nyingine?