pandagichiza
JF-Expert Member
- Jul 9, 2013
- 6,382
- 4,761
Wanazidi kutoa masimu makubwa
Screen 6.8"!!!
Screen 6.8"!!!
Mwisho tutafika 10Wanazidi kutoa masimu makubwa
Screen 6.8"!!!
wakiona mmemwagikia huko wanaweka premium features kisha wanauza bei za hizi flagship[emoji38][emoji38].No more expanded storage na charger 25watts charging speed mhhh ngoja turudi kwenye midrange tu
Ww ni kitu gani huwa unaweza nunua bei kubwa? Kuna watu wananunua perfume 500k mzeeHiyo simu ya Samsung 21s inanipa faida gani. Faida ya simu ni kupiga, kupokea, whatsapp, instagram na kuandika message thats all. Nini tena cha zaidi ya kutumia gharama eti kununua samsung 21s ya nini?.
Bingwa wa mwonekano ni Huawei. Kilaza wa mwonekano ni XiaomiDaah aisee ila zinamuonekano mbaya..ni kama tekno aisee...
Hiyo simu ya Samsung 21s inanipa faida gani. Faida ya simu ni kupiga, kupokea, whatsapp, instagram na kuandika message thats all. Nini tena cha zaidi ya kutumia gharama eti kununua samsung 21s ya nini?.
Unatumia chaja uliyonayo badala ya kuitupa ikachafua mazingirawakiona mmemwagikia huko wanaweka premium features kisha wanauza bei za hizi flagship[emoji38][emoji38].
kwa wakati huu sioni umuhimu wa expendable storage maana kuna option za usb storage nk.
ila pale kwenye charger kuchafua mazingira ndio naomba msaada aliyeelewa jamani binafsi sielewi[emoji1][emoji1].
Unatumia uliyonayoMi mshamba kidogo jaman wa haya mambo,, Kama hazina charger Sasa zinapata umeme kwa njia gani......???
nani kasema charge huwa zinatupwa!!!Unatumia chaja uliyonayo badala ya kuitupa ikachafua mazingira
Vipi zina chaja au ndio wanatunza mazingira na wenyewe [emoji1787]
Na Samsung za Tanzania zitaanza kutolewa lini jamani*
Ukimnunulia mwanamke simu ya hiviSh ngapi? Ni Nzuri!