Samsung S21s Official Released This evening

Hiyo simu ya Samsung 21s inanipa faida gani. Faida ya simu ni kupiga, kupokea, whatsapp, instagram na kuandika message thats all. Nini tena cha zaidi ya kutumia gharama eti kununua samsung 21s ya nini?.

Cha zaidi ni muonekano. Ukipita barabarani simu usiweke mfukoni, shika mkononi uionyeshe onyeshe watu waone ni S21. Kinyume na hapo haina faida zaidi ya hizo zingine
 
Sisi akina pangu pakavu tia mchuzi tunasubiri mwaka 2030 tutazinunua kwa laki 3 kule makumbusho
Elufu mbili na thalathini ni mbali mnoo

Miaka mi3/4 mbele tu tutaziokota kwa bei kitonga, cheki s8 ya miaka mi4 nyuma, s7 miaka mi5 nyuma.
 
Hiyo simu ya Samsung 21s inanipa faida gani. Faida ya simu ni kupiga, kupokea, whatsapp, instagram na kuandika message thats all. Nini tena cha zaidi ya kutumia gharama eti kununua samsung 21s ya nini?.
Vyote uliyotaja vipo kwenye smart kitochi za tigo, voda na zantel, ya zantel inauzwa 40,000 tu.

Kwa logic hii smart kitochi ndio simu pekee tunayotakiwa kumiliki duniani, hata wale wanaotumia tecno za laki wanapigwa?
 
Kuna samsung moja niliiona kama hiyo inafunguka katikati inakua kama tablet sijui ndio hiyo!!
Fold..

Kuna habari niliona lukuvi anawapigia watu wakachukue hati zao, kwa haraka haraka simu aliyokuwa anatumia ni hiyo.

Tuendelee kusaka hela, au kwa bajeti zetu za laki 5/7 tusubiri miaka miwili mbele yawezekana ikawa imeshuka bei..

Tusione aibu mbona watu wanatumia ist za mwaka 2004 huko kwa namba DV..

Tuisubiri, huko mbele, mimi naisubiri note 10, nifunge nayo ndoa ya mkataba
 
Hata mimi flip naziona ona mtaani, wapo wadada wa kutosha kumiliki hizi simu, kama kimkebe cha makeup.
 
Fold..

Kuna habari niliona lukuvi anawapigia watu wakachukue hati zao, kwa haraka haraka simu aliyokuwa anatumia ni hiyo.

Tuendelee kusaka hela, au kwa bajeti zetu za laki 5/7 tusubiri miaka miwili mbele yawezekana ikawa imeshuka bei..

Tusione aibu mbona watu wanatumia ist za mwaka 2004 huko kwa namba DV..

Tuisubiri, huko mbele, mimi naisubiri note 10, nifunge nayo ndoa ya mkataba
mtu anaona aibu kisa simu,halafu gari sababu kanunua mil 10 haoni shida,kumbe nayenyewe ni kifaa cha kusafiria kama tukiichanganua.

kikubwa kujiamini tu
 
Ila mara hii SAMSUNG wamezingua sana, yaan wamefanya hata hii simu (Samsung S21ultra, S21plus na S21) nisiifikirie kabsa wala kuipenda, kwa sababu;

1. Wameondoa option ya kuongeza External Memory (memorycard), Wakati simu inarekod videos hadi zenye resolution ya 8k, na main camera ni 108 mp, kwahyo tegemea 128gb, 256gb au 512gb internal memory kujaa fasta!

2. Uwezo umepunguzwa wa simu kujaa mapema unapochaji kutoka 45w iliyokuwepo kwenye S20 Ultra hadi kufikia 25w uliopo kwenye S21 Ultra!

3. Simu inakuja bila chaja, unanunua kwa mamilion bado tena ununue na chaja!

4. Wameweka tena EXYNOS chip kwenye global versins (hii chip inalalamikiwa sana, simu zake zinapata moto katika matumizi), japo wao wanasema ime be improved!

5. No headphone jack

6. Powerfull Phone with small Battery capacity (5000mah)

7. Camera (periscope) imepunguzwa megapixel kutoka 48mp( S20 Ultra) hadi 10mp (S21 Ultra) while the same zoom space! Kwahyo tegemea zooming yenye picha mbovu, zisizo na ubora (blurry zooming image)!
 
Nishafanya pre order ya hii simu.

Nimefurahi kukuta kwa Africa nchi tano ambazo unaweza kufanya pre order Tanzania imo.

Kwa simu za mwaka jana sikuvutiwa nazo kabisa ila hii imenivutia.

Sisi wapenzi wa Samsung hua tunachukizwa na ubora wa camera wa simu za Samsung ila mwaka huu kwenye hii S21 kuna improvement, nimesoma reviews nyingi wanasifu kua kuna improvement kwenye camera.

Naisubiri.
 
Kama wew ni mpenzi wa kupiga picha na kurekodi videos tegemea kukwazwa maana hiyo simu haina sehemu ya kuweka memorycard ya nje! Na hiyo mi camera yenye 4k to 8k resolutions tegemea 128GB kujaa fumba na kufumbua!
 
Hiyo simu ya Samsung 21s inanipa faida gani. Faida ya simu ni kupiga, kupokea, whatsapp, instagram na kuandika message thats all. Nini tena cha zaidi ya kutumia gharama eti kununua samsung 21s ya nini?.
Hizo ni voice za mtu ambaye hana uwezo wa kumiliki simu kali. Instead of kulalamika lalamika. Acha wenyewe uwezo wa enjoy
 
Hiyo simu ya Samsung 21s inanipa faida gani. Faida ya simu ni kupiga, kupokea, whatsapp, instagram na kuandika message thats all. Nini tena cha zaidi ya kutumia gharama eti kununua samsung 21s ya nini?.
Hizo luxury phones
Ni kama mtu anayevaa chain ya dhahabu ya milioni 2 kiunoni
 
Back
Top Bottom