Madumbikaya
JF-Expert Member
- Jun 6, 2018
- 639
- 1,902
Nimekuwa mtumiaji wa samsung kwa muda mrefu lakini miaka miwili iliyopita niliiweka pembeni simu yangu ya zamani Samsung s20+5g sikuitumia kabisa baada ya kujiunga kwenye simu za ulimwengu mwingine ambazo ni powerful lakini hazina majina
Leo nimeiwasha samsung s20+5g inanihitaji nifanye software update kwa kutumia wi-fi tu
Nimejaribu kila aina ya setting kwenye mobile data na kuzima wi-fi lakini simu inakataa,Inataka software update kwa wi-fi tu
Msaada mwenye uzoefu jinsi ya ku update kwa mobile data anipe uzoefu kwa hii samsung s20+5g
Je ?Lazima nitumie wi-fi wakati nina mobile data
Mwenye
Sent using Jamii Forums mobile app
View attachment 2615780