Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 32,073
- 43,520
Zinazoshuka thamani ni refurb, International model most of time hazishuki bei upesi.Sijatumia Samsung miaka kibao, tokea S7 Edge. Sijui nimemiss nini ila nikionaga Screens za izo simu nazitamani ila nikiwaa kununua naona hapana.
Zinashuka bei kwa kasi sana. Unaweza nunua leo S22 Ultra Mil 1.4 ila baada ya miezi 5 unaweza kuta zinauzwa Laki 7.
Same issue nimeiona kwa Google Pixel, unanunua leo Pixel 5 kwa Laki 5 ipe miezi 6 unakuta Laki 3.
iPhone anajitahidi kubaki na bei ile ile mfano sahivi iPhone 13 unakuta unaipata kwa Mil 1.4 wakati ni simu ya 2021.