Samsung na Galaxy S dhidi ya Apple na iPhone

Samsung na Galaxy S dhidi ya Apple na iPhone

zote ni bomba iphone anavitu ambavyo s3 hawana and s3 wana vitu ambavyo iphone hawana
 
cheif-mkwawa
Kwanza kuhusu hili ninakunukuu "Moja apple hajaanza kuongoza mauzo toka 2007, world wide hadi 2010 ni nokia ndo aliekua kinara na kwa upande wa marekani alikua blackberry." Hapa tunazingumzia familia moja ya handset. Nokia wanaongoza kwa kuuza vimeo na BB wanatoa simu nyingi tofauti kwa mwaka. Mwaka huu ndio wamegundua kuwa mtiondo ule huwezi kushindana na simu za hali ya juu ndio wametoa mbili tu (Q10 na Z10). KWa hiyo Cha msingi ni kwanga hatuzungumzii mauzo ya simu zote za kampuni. Kwa mtindo wa simu zote sasa hivi Sammy ndio wanaoongoza.

Kuhusu hili la siries ni hivi:
1. Zifuatazo ni Galaxy S: S, S Plus, S Duo na S Advance.
2. Zifuatazo ni S II: SII, SII Plus, SII HD LTE, S2 1900G
3. Zifuatazo ni SIII: SIII na VAriant nyingine isipokuwa SIII Mini ambayo ni simu tofauti kabisa. Hata takwimu nilizotumia haziingizi SIII mini.

Hizi variant huwa simu haibadilishwi sana, lengo huwa ni ku-boost sales tu na sio kuboresha sana simu kiasi cha kuifanya iwe tofauti. Ndio maana kwa mimi iPhone 4 na iPhone 4S ni simu ile ile. Ndio nikasema Apple hutoa simu moja kila miwili. Ingawa sio consistently kwa sababu from iPhone to iPhone 3G ilikuwa ni simu mbili tofauti.

Labda ningekiri mtu ambaye angekuja na hoja kwamba simu za familia ya Galaxy S zimeanza mwaka 10 na iPhone zimeanza mwaka 2007 saba hii ingekuwa ni hoja ya msingi. Hata hivyo takwimu zilizotumika hazijumuishi mauzo ya iPhone kwa miaka ya nyuma ili tuweze kufanya mlinganyo ulio wa haki.

Kuhusu Advertising Spending za Samsung: Kabla ya kukujibu naomba niweke ushahidi wa SAmsung advertising spending kutoka kwenye Official Samsung Financial Report. TAble hii ya chini nimeitoa kwenye ukurasa wa 78 wa ripoti hiyo
View attachment 86507

Sasa uki-convert to Dollar utakuta inakupa kwamba samsung wametumia $4.2 billion mwaka 2011, ukiangalia loop kutoka mwaka 2010 utaonona umezidi kama bilioni moja, kwa hiyo it makes more sense kukubali samsung wametumia bilioni 5 kuliko bilioni 12. Ingawa nimeiona article kutoka kwenye mitandao mbali mbali, lakini article hizo zinazungumzia hili kama "romours" kwa vile SAmsung hawaku-publish new financial report bado.

Ila tu kama unadhani kuwa figure ya 12 Billlion ni ya uhakika basi unaweza kutuletea source, nasi hatutaipinga.

Mkuu nakupa source moja ya phonearena hope itatosha ila ipo reported kwenye website zote kubwa za tech
Marketing was the 'main reason' for Samsung success last year: here is the mind-boggling amount it spent

lol kwa hio 2010 nokia katoa vimeo?? Mkuu 2010 ndo ulikua mwaka wa mwisho wa nokia na aliongoza kwa simu yake ya n8, n8 hii hii ndo hadi leo imeishinda htc one kwenye camera test na ultrapixel technology yake.
 
Last edited by a moderator:

Kwa nini unakuwa unanielewa "partially". Nimesema hapa tunazungumzia handset moja (au family moja ya handset) Nokia wanauza sana simu kama Asha, sijui Nokia 113, Nokia 100 (BNIB Sh. 15,000 [Asia huenda ikawa Sh. 5000]). Hivyo ukijumuisha visimu kama hivi Nokia bado ni Namba Mbili kwa kuuza simu nyingi Duniani. Lakini ukichukua Smartphone (Lumia family) peke yake, they are chasing shadows.

However I do agree with you that Samsung are doing aggressive crazy marketing. Kwa sababu hata kama ni $5 Billion bado ni wazimu. Pia tukumbuke Samsung sio kampuni ya Simu tu, simu, tablet na kompyuta ni sehemu ndogo tu ya biashara zao. Unakumbuka Samsung Haba haba? Hawa jamaa wanatengeneza mafriji, cylinder cleaner, robot, AC na mataka taka mengi tu. Halafu wako kwenye B2C na pia B2B. Wanawalangua screen na semi conductors mpaka Apple wenyewe. Lakini pamoja na hayo bado budget yao ni kubwa mno katika Marketing communication.

MWisho usiamini sana blog kama PhoneArena, CNet, Engadget, Tech Crunch, Mashable, Wired, Gizmodo n.k. kwenye masuala ya Financial and Business side za makampuni. hawa ni wazuri kwa tech roumers, gadget analysis, tech teporting, gadget reviews na mambo kama hayo. Lakini they are so "unreliable" kwenye Business data and info. Kwa sababu wanachanganywa ukweli, majungu na tetesi humo humo. Ukitaka Business side ya tech companies, (info au data) tumia vitu kama Mintel, Keynote, Financial Times, Economist, Finacial Report za kampuni husika, (yaani academic databases, Business or Economic magazines na Broadsheet Newspapers and their websites).

Sisemi kwamba figure ya $11/12 billion sio sahihi lakini ninachosema sio reliable. Ni kama vile unatoa reference ya Wikipedia.
 
Data mbona source imeandikwa IDC, angalia chini kulia, IDC ni International Data Corporation wao ni global marketing researchers katika masula ya IT, Telecom consumer technology markets.

Au kaka ulitaka niweke full reference (citation na reference list/bibliography)? This is more journalistic than academic.

Kwa nini unakuwa unanielewa "partially". Nimesema hapa tunazungumzia handset moja (au family moja ya handset) Nokia wanauza sana simu kama Asha, sijui Nokia 113, Nokia 100 (BNIB Sh. 15,000 [Asia huenda ikawa Sh. 5000]). Hivyo ukijumuisha visimu kama hivi Nokia bado ni Namba Mbili kwa kuuza simu nyingi Duniani. Lakini ukichukua Smartphone (Lumia family) peke yake, they are chasing shadows.

However I do agree with you that Samsung are doing aggressive crazy marketing. Kwa sababu hata kama ni $5 Billion bado ni wazimu. Pia tukumbuke Samsung sio kampuni ya Simu tu, simu, tablet na kompyuta ni sehemu ndogo tu ya biashara zao. Unakumbuka Samsung Haba haba? Hawa jamaa wanatengeneza mafriji, cylinder cleaner, robot, AC na mataka taka mengi tu. Halafu wako kwenye B2C na pia B2B. Wanawalangua screen na semi conductors mpaka Apple wenyewe. Lakini pamoja na hayo bado budget yao ni kubwa mno katika Marketing communication.

MWisho usiamini sana blog kama PhoneArena, CNet, Engadget, Tech Crunch, Mashable, Wired, Gizmodo n.k. kwenye masuala ya Financial and Business side za makampuni. hawa ni wazuri kwa tech roumers, gadget analysis, tech teporting, gadget reviews na mambo kama hayo. Lakini they are so "unreliable" kwenye Business data and info. Kwa sababu wanachanganywa ukweli, majungu na tetesi humo humo. Ukitaka Business side ya tech companies, (info au data) tumia vitu kama Mintel, Keynote, Financial Times, Economist, Finacial Report za kampuni husika, (yaani academic databases, Business or Economic magazines na Broadsheet Newspapers and their websites).

Sisemi kwamba figure ya $11/12 billion sio sahihi lakini ninachosema sio reliable. Ni kama vile unatoa reference ya Wikipedia.

Mkuu uandishi mzuri una cite reference na una weka link kma umetumia from internet kama kitabu unakisema ili na sisi tupitie na tujiridhishe na source yako then post yako au article yako tutaipa reviews vizuri.

Sasa ukisema IDC tu haitoshi, mi sijaiona hapo chini kulia ndo mana nimeuliza. But kama umepata from IDC data base pls kama kuna some way tunaweza kuona hizo data from the source itakuwa vizuri.
 
Apple is a fashion brand, not a tech company.
 
Hoja kuu ni kwamba: Siku zote huwashauri wale ambao hawakuwahi kutumia Smartphone hizi waanze na iPhone. Ukiwa na matumizi ambayo ni "serious" basi iPhone ni platform ambayo haitakuangusha. Haya ni maoni binafsi wengine wanaweza kusema mengine au hata wasikubaliane na ninayoyasema.

Mimi huwa nashauri kama mtu anaaanza kutumia smartphone, iphone sio simu nzuri yakuanzaia hata kidogo.

Android is the best OS for a smartphone mtu yoyote can adapt mapema na hawezi kupata shida. That said samsung ndo the best Smartphone with an Android OS.

Iphone imekaa kichoyo kwetu huku kwenye dunia ya tatu where we cannot afford kununua apps kubwa kubwa, wakati with android unazipata bureeee.

To download music is much easier with an samsung than an apple.

kwanza mtu mgeni akinunua iphone lazima apewe mafunzo intensive kidogo compared to samsung, la sivyo anaweza akaipiga chini jinsi itakavyo mtoa jasho.

Lazima ajue you can only use one computer to sync data zako na iphone yako, ukitumia computer nyingine you loose the data. Iphone music data ikishakuwa sync inabadilishwa format to their format ambayo huwezi tena kuitoa na kumpa mtu mwengine, can only be used with an iphone.

Android esp iphone jinsi walivyojuu na innovation the things you could with it mwenyewe utapenda, the apps ni zakumwaga.

Mfano unajua kama watsapp is free kwenye samsung,wakati kwenye iphone you have to purchase. Na wabongo mambo yakunza kuingiza my debit card, ni ugomvi.

So kwa mtu anayeanza kununua smartphone, kama anataka status aonekane cool, nunua iphone.

But kama anataka kupata smartphone experience, uende na wakati na technology, usikereke na kuchukia smartphone, kama hutaki kuanza kuijailbrwak your phone which will cost you ofcoz (handsomely) nunua an Amdroid phone (samsung to be exact)
 
Mkuu uandishi mzuri una cite reference na una weka link kma umetumia from internet kama kitabu unakisema ili na sisi tupitie na tujiridhishe na source yako then post yako au article yako tutaipa reviews vizuri.

Sasa ukisema IDC tu haitoshi, mi sijaiona hapo chini kulia ndo mana nimeuliza. But kama umepata from IDC data base pls kama kuna some way tunaweza kuona hizo data from the source itakuwa vizuri.

@Mundungus Fletcher; mimi ni blogger (gajetek.com) na blogi nyingine kadhaa, Blogs zinatumia "journalistic approach" na sio 'academic approach". Hivyo sidhani kama natakiwa kufanya citation na referencing katika article zangu. Nakubaliana na wewe kwamba citatation inayofuatiwa na full reference ina maana kwamba source zako ni more reliable na kitaaluma hiyo ni hoja muhimu. Ila hoja yangu ni kwamba hilo sio lazima kwangu kama blogger. Ninaweza nikakuelekeza kwenye "International Blogs nyingi tu ambazo zinafanya secondary/desk research na hawaweki reference kama ambavyo unataka wewe.

List ya baadhi ya sources ninazozitumia nimeweka tu kwa ajili ya kutetea figure ya $5 bilion ad spend ya Samsung kama ambavyo nilizungumza na ndugu Chief Mkwawa.

Iwapo inahitaji kujua sources kwa sababu unazihitaji kwa ajili ya matumizi mengine muhimu (kama vile utafiti) na sio tu kusoma basi nijulishe kwa inbox tuone tunaweza kusaidiana vipi. Nina access kwenye marketing na academic database nyingi kupitia institution niliyopo.

Lakini kubadili approach yangu kuwa academic kwenye blogging hiyo itakuwa ngumu mno, labda nikutanabahishe kwamba makala kama vile hii
Gajetek - Gajet na Teknolojia: Hii Ndio Samsung Galaxy S4? nisingeweza kuiandika kama nitatumia njia unayopendekeza.

Ila nitapokea ushauri zaidi kutoka kwako na wengine. Pia ningependa kujua kama tatizo huamini ninachokisema/andika au una matumizi zaidi ya data hivyo unazihitaji.
 
Kaka wewe endelea kutumia simu ambayo inakonga moyo wako, usijali watu wanatumia nini, isipokuwa kama unataka ushauri baina ya BB, Android na iPhone, jibu ni kwamba inategemea zaidi wewe ni mtumiaji wa aina gani, lakini haya huenda yakakusaidia kidogo:

BB ni kwa ajili ya watu wa keyboard, ingawa hawa inabidi wakubali kwamba kama walivyokubali Blackberry wenyewe kwamba huhitaji keyboard kwa ajili ya BBM, SMS au Whatsapp. Hivyo ungejaribu maji ya touch screen huenda ukagundua kwamba walio wengi wako sahihi, (walio wengi kwa sababu market share ya simu za BB imebaki 6% tu) ila nirudie kuwa hili sio lazima. Tatizo kubwa la BB kama platform ni ukame wa apps na pia BB OS mpya haiko stable sana (full of bugs) ingawa hili taratibu litatoweka tu kwa kupitia updates.

Android: inajulikana zaidi kwa customisation; unaweza kubadili simu yako kila siku ikawa na muonekano mwengine. Yaani inawafanya watuamiaji wachelewe kuichoka simu. Customisation ipo kwenye widgets, skin na hata version ya Android OS, kwa mfano unaweza ukawa na Galaxy Nexus, ukiichoka stock Android una-port Android ya Galaxy SIII na ukaenda na wenye simu hiyo sambamba kwenye mambo mengi tu (inaweza isiwe perfect kama inavyokuwa kwenye SIII yenyewe) lakini utaikaribia sana. Apps ni nyingi ingawa kuna matatizo ya quality kidogo kwa vile hakuna uangalizi mzuri. Kiujumla hili sitatizo kubwa kwa vile kuna apps kama 700,000 hivi, hivyo utapata apps za kutosha kwa ajili ya matumizi yako binafsi. C

iPhone: Wepesi wa kuitumia na stability ya hali ya juu ndio sifa kuu, pia apps ni nyingi tena za quality nzuri kwa vile Apple wako "strick" katika suala za kupasisha apps kwenye soko lao. Ina apps zaidi ya milioni kwa sasa. Tatizo ukiitumia sana unaanza kuona "boring" yaani kuswipe na ku-touch hamna zaidi. Pia huna uhuru mkubwa wa kufanya unavyotaka mpaka ufanye jailbreak (kitu ambacho binafsi kimenichosha), hata ukijailbreak utaweza tu kuweka apps za bure basi na ukafanya tweaks kadhaa, huwezi kwa mfano kuweka widgets au another skin (there is only one iOS anyway)

Windows Phone: ni content centric. Hapa sina mengi ya kusema kwa sababu nilipoijaribu haikunivutia hivyo sikudumu nayo muda mrefu kiasi cha kuielewa vya kutosha. Ila udhaifu uliopo ni uchache wa apps na kampuni nyingi bado kuipa OS hii kipaumbele cha kutosha. Ni Nokia tu kwa vile "walihongwa" na Microsoft waipe kipaumbele OS hii kwenye kile walichokiita mkataba.

Kiujumla BB na Windows kidogo zina-struggle kuji-establish (au niseme re-establish), kwa sasa Android na iPhone zina fly.

Hoja kuu ni kwamba: Siku zote huwashauri wale ambao hawakuwahi kutumia Smartphone hizi waanze na iPhone. Ukiwa na matumizi ambayo ni "serious" basi iPhone ni platform ambayo haitakuangusha. Haya ni maoni binafsi wengine wanaweza kusema mengine au hata wasikubaliane na ninayoyasema.

Asante sana Millah, binafsi nina background ya iCT so smart phone is my second wife na ninaamini ninai maximise ktk matumizi from sms, email, bbm, FB msn u name it but na miss sana skype hehehe, kwa maelezo yako naona nijaribu I phone japo hii maneno ya touch screen ndo Inanipa ulakini hahAha
 
You are welcome Bro.
 
@Mundungus Fletcher; mimi ni blogger (gajetek.com) na blogi nyingine kadhaa, Blogs zinatumia "journalistic approach" na sio 'academic approach". Hivyo sidhani kama natakiwa kufanya citation na referencing katika article zangu. Nakubaliana na wewe kwamba citatation inayofuatiwa na full reference ina maana kwamba source zako ni more reliable na kitaaluma hiyo ni hoja muhimu. Ila hoja yangu ni kwamba hilo sio lazima kwangu kama blogger. Ninaweza nikakuelekeza kwenye "International Blogs nyingi tu ambazo zinafanya secondary/desk research na hawaweki reference kama ambavyo unataka wewe.-

List ya baadhi ya sources ninazozitumia nimeweka tu kwa ajili ya kutetea figure ya $5 bilion ad spend ya Samsung kama ambavyo nilizungumza na ndugu Chief Mkwawa.

Iwapo inahitaji kujua sources kwa sababu unazihitaji kwa ajili ya matumizi mengine muhimu (kama vile utafiti) na sio tu kusoma basi nijulishe kwa inbox tuone tunaweza kusaidiana vipi. Nina access kwenye marketing na academic database nyingi kupitia institution niliyopo.-

Lakini kubadili approach yangu kuwa academic kwenye blogging hiyo itakuwa ngumu mno, labda nikutanabahishe kwamba makala kama vile hii
Gajetek - Gajet na Teknolojia: Hii Ndio Samsung Galaxy S4? nisingeweza kuiandika kama nitatumia njia unayopendekeza.-

Ila nitapokea ushauri zaidi kutoka kwako na wengine. Pia ningependa kujua kama tatizo huamini ninachokisema/andika au una matumizi zaidi ya data hivyo unazihitaji.

Millah.

Blog yako nzuri, unajitahidi kuchambua.-

Blogging mara nyingi ni opinion za Blogger, so unapoandika kwenye blog yako ni opinions zako and you are entaitod to them...-

Kiasi mimi nikiwa nakupinga natakiwa either na mimi nifungue ya kwangu au nipost kwenye comment section ya blog yako kama ipo after all.

The last option ni kuacha kuisoma kabisa. Na kuidescredit lakini bado itakuwepo na wengine wataendelea kusoma.

Ila when it comes to JF rule zinabadilika kidogo, hapa ni Forum of Great thinkers. Humu watu wanachambua makala, habari, info n.k watu wanaenda beyond kusoma tu makala.

Watu wanataka zaidi ya kuelewa na hivyo kujiuliza maswali magumu. Katika uchambuzi tunasaidiana kuelewa vizuri na kupata ukweli sahihi. Hata wale wenye less info watasaidiwa kujua ukweli sahihi.

Hivyo wewe ulivyopost makala yako au uchambuzi wako, umetumia data na figures ambazo najua umezipata somewhere kwasababu wewe hujazifanya hizo research, na mimi ndo nilipotaka kujua source za info na data zako ili inisaidie na mimi katika kushiriki vizuri uzi wako..

Kama wewe mwenyewe umezifanya hizo research basi ntaelewa lakini kama ni za watu wengine is fair ukatoa credit kwa ku cite refence.

Hata mtu anapooandika kitabu bado huwa anatoa refence za sources za info zake, kazipata wapi kwenye kitabu, internet, historical archives, n.k
 
Asante sana Millah, binafsi nina background ya iCT so smart phone is my second wife na ninaamini ninai maximise ktk matumizi from sms, email, bbm, FB msn u name it but na miss sana skype hehehe, kwa maelezo yako naona nijaribu I phone japo hii maneno ya touch screen ndo Inanipa ulakini hahAha

Akohi,

Ingawa uchambuzi wa Millah ni mzuri,

Ila kama unataaka kuamia kwenye hizi touchscreen smartphones nakushauri USINUNUE wala USIANZIE na IPHONE.

Kama wewe ni geek au kama unavyosema
Mwenyewe unamaximise matumizi ya simu ipasavyo, then ukitumia iphone itakulimit na haitakupa uhuru wa kuexplore ulimwengu wa technologia ipasavyo.

Kama mchambuzi alivyosema android ina apps nyingiiiiiiiiiiii sana, ambazo zitakufanya ufanye mambo kwenye simu hujawai kuwaza.

Iphone itakulazimisha utumie computer moja tu kufanya mambo yako. Now that mimi naona ni flop kubwa sana na inakufunga mtu kwenye dunia hii ua free market. Sisi watanzania ambao ni watu wakushare info, data simu kama hii itakubana sana.

Are you ready to purchase a song on itune wakati you download it for free katika android yako???

Data,document au file ukitumiwa na mtu kwenye iphone huwezi kuidownload lenyewe kama file likakaa kunijitegemea kwenye simu ikiwa unataka kuli access au view au edit it, huwezi, linabakia kwenye mtandao tu.
On the contrary samngsung hiyo inawezekana. Inafanya kazi kama a normal computer.

With samsung you can download a movie au series yako unayoipenda from torrents na ikaakaa kwnye simu, ukitaka kuiview kwa mda wako unacheki tu, with iphone kwa huwezi kudownload movies from torrentz, na hata kununua music au Movies from thier istore huwezi kununua hapa Tanzania. Istore ya bongo hapa you can only purchase apps au podcast.

Sasa mambo gani hayo.... Ukitaka kuweka movies zako lazim udownload kwenye computer yako then uingize kwenye simu yako through itune. Whats the use ya smartphone kama mambo yenyewe kama hayo.

Whatsapp yenyewe you have to purchase through istore wakati with samsung au android its free. (inawezekana wewe huna matatizo na kupurchase from istore) ila kwa ndugu zangu mimi huku mambo ya kununua kwenye mtatandao kuingiza info za debit card yangu kwenye mtandao ni utata.

Hizi ni flows ambazo very rearly utazikuta kwenye reviews za experts huko. But mimi natumia iphone na nime experience hayo yote.
 
Millah.

Blog yako nzuri, unajitahidi kuchambua.-

Blogging mara nyingi ni opinion za Blogger, so unapoandika kwenye blog yako ni opinions zako and you are entaitod to them...-

Kiasi mimi nikiwa nakupinga natakiwa either na mimi nifungue ya kwangu au nipost kwenye comment section ya blog yako kama ipo after all.

The last option ni kuacha kuisoma kabisa. Na kuidescredit lakini bado itakuwepo na wengine wataendelea kusoma.

Ila when it comes to JF rule zinabadilika kidogo, hapa ni Forum of Great thinkers. Humu watu wanachambua makala, habari, info n.k watu wanaenda beyond kusoma tu makala.

Watu wanataka zaidi ya kuelewa na hivyo kujiuliza maswali magumu. Katika uchambuzi tunasaidiana kuelewa vizuri na kupata ukweli sahihi. Hata wale wenye less info watasaidiwa kujua ukweli sahihi.

Hivyo wewe ulivyopost makala yako au uchambuzi wako, umetumia data na figures ambazo najua umezipata somewhere kwasababu wewe hujazifanya hizo research, na mimi ndo nilipotaka kujua source za info na data zako ili inisaidie na mimi katika kushiriki vizuri uzi wako..

Kama wewe mwenyewe umezifanya hizo research basi ntaelewa lakini kama ni za watu wengine is fair ukatoa credit kwa ku cite refence.

Hata mtu anapooandika kitabu bado huwa anatoa refence za sources za info zake, kazipata wapi kwenye kitabu, internet, historical archives, n.k

Nakubaliana na wewe kwamba huu ni ukumbi wa great thinkers, au at least hivyo ndivyo unavyokuwa "presented". I respect that as well. Ila nataka nikubainishie huu ukumbi wa great thinkers unaruhusu mpaka tetesi (habari ambazo si za uhakika) ndio maana unapoandika new post kuna prefix kwenye ka-drop down menu kadogo juu ya title ambacho kina options mbili "news alert" na "tetesi". Hii ina maana waanzilishi wa notion ya great thinking katika ukumbi huu wamekubaliana na mambo haya.
Pili naomba upitie makala kadhaa kwenye sehemu ya "Tech, Gadgets & Science Forum" halafu uangalie ni wangapi waliotumia data wamefanya full reference katika data zao, au wamefanya quatation au wamefanya citation, nina hakika jibu litakuwa sifuri. Nakupa mifano miwili tu:

a. Makala yenye kichwa cha habari "Samsung Galaxy SIV is here see how it compares to other top smart phones" ina table lakini haina reference yoyote, sio haina full reference haikuelezwa hata Source.

b. Katika makala "Tengeneza pesa online sasa" mwandishi anazungumzia "cash crate", kuna wide spread opinion kwenye mtandao kwamba cash crate ni matapeli (scam), nadhani huu kama ushauri kwa watu ni jambo hatari kuliko table kuandikwa source bila ya reference kamili. Ni hatari kwa sababu atakayemsikiliza huyu huenda akaishia kuibiwa!!!Tatu sina haja ya kurudia ila naomba ufahamu ya kuwa pamoja na kwamba nafanya juhudi kubwa kuandika kilicho sahihi na kweli lakini pia mimi siandiki academic contents, pia sijawahi kuona list of bibliography au reference kwenye gazeti, na hapa sizungumzii magazeti uchwara bali hata braodsheet newspaper kama vile Financial Times sijawahi kuona reference kamili.

Sasa naomba uwe muwazi ni kwa nini unataka lazima mimi niweke full reference kwenye makala ninazoandika?

Pamoja na kwamba JamiiForum inajiwakilisha kama mahala pa Great Thinkers lakini pia tunajua kwamba hapa si mahala pa Kitaaluma. So why?

Madhumuni ya blogi ya www.gajetek.com ni kuwapa wasomaji wa kiswahili habari na uchambuzi wa gajeti na teknolojia na lengo sio kutumika kama kwa matumizi ya kitaaluma. Hivyo tutaendelea kutumia njia hii ya uandishi, ingawa tutawasikiliza wasomaji wanataka nini.

Hii hapa ni baadhi ya mifano ya uandishi wa Blogi kubwa za kimataifa:

Angalia Engadget ni Blogi ya kimataifa lakini haifanyi primary research katika mauzo, katika makala hii waliliripoti mauzo ya Galaxy Note II, hakuna source wala reference wala citation katika data:Samsung Galaxy Note II sales exceed one million in Korea, may hit 10M globally in Q1

Blogi inayomilikiwa na moja kati ya kampuni kubwa kabisa ulimwenguni Microsoft (MSN Tech blog) inaripoti kuzorota kwa mauzo ya iPhone na hakuna source, reference wala citation:Apple cuts orders for iPhone 5 parts, as sales slow

Mwisho kabisa kuhusu notion ya kwamba JamiiForum ni mahala pa Gret Thinkers, hili ni jambo zuri sana, bila ya shaka hivi ndiyo waanzilishi wa JF walitaka iwe, ila ningeomba uniwekee maana ya great thinkers na uandishi wao, huenda nikaweza kukudhihirishia kwamba asilimia kubwa ya wachangiaji hawaendani na notion hiyo hata kidogo.
Niko tayari kujadiliana na wewe zaidi kuhusu hili Mundungus Fletcer
 
Back
Top Bottom