Mundungus Fletcher
JF-Expert Member
- Jun 7, 2009
- 327
- 79
I like this one too, unataka ku-challenge bring your perspective, your data, prove your point, bring counter arguments.
Mimi naona kama bado unabeat around the bush, we ndo uliyeleta article hapa, -mimi ni msomaji wakawaida tu ambaye katika kusoma nikahitaji kuelewa vizuri kwa kupata kujua hizi figures zako ulizozitumia humu mbona hujaonesha ulipozipata tujuridhishe na uhalali wake.
am merely asking simple questions.-
Sasa wewe all defensive na unataka counter arguments, niandike na reivew yangu pia...-
to me every detail is important. No matter how little it may seem.-I think you have something else, if your aim was to challenge the content you would have foucsed on the key point.
angalia ushaanza kuwa all emotional sasa..! Why all the paranoia...-I suggest that; be a man enough to say what is in you heart!
Its not a weak argument.You left yourself off the guard when you brought this weak argument "Why come here? We anzishia a thread kwenye hii forum? I know you know whats a forum.-
We umezungumzia kuhusu azma yangu mimi.
Na mimi Nilitaka kujua kwanini umekuja hapa JF wakati unaonekana kama mtu ambaye hapendi kuwa question kwa ulicho andika...
Katika mjadala mzima hakuna mahala umetoa hata hoja moja ya mtazamo wako kuhusu mada husika,
Akohi,
Ingawa uchambuzi wa Millah ni mzuri,-
Ila kama unataaka kuamia kwenye hizi touchscreen smartphones nakushauri USINUNUE wala USIANZIE na IPHONE.
Kama wewe ni geek au kama unavyosema
Mwenyewe unamaximise matumizi ya simu ipasavyo, then ukitumia iphone itakulimit na haitakupa uhuru wa kuexplore ulimwengu wa technologia ipasavyo.
Kama mchambuzi alivyosema android ina apps nyingiiiiiiiiiiii sana, ambazo zitakufanya ufanye mambo kwenye simu hujawai kuwaza.
Iphone itakulazimisha utumie computer moja tu kufanya mambo yako. Now that mimi naona ni flop kubwa sana na inakufunga mtu kwenye dunia hii ua free market. Sisi watanzania ambao ni watu wakushare info, data simu kama hii itakubana sana.
Are you ready to purchase a song on itune wakati you download it for free katika android yako???
Data,document au file -ukitumiwa na mtu kwenye iphone -huwezi kuidownload lenyewe kama file likakaa kunijitegemea kwenye simu ikiwa unataka kuli access au view au edit it, huwezi, linabakia kwenye mtandao tu.
On the contrary samngsung hiyo inawezekana. Inafanya kazi kama a normal computer.
With samsung you can download a movie au series yako unayoipenda from torrents na ikaakaa kwnye simu, ukitaka kuiview kwa mda wako unacheki tu, with iphone kwa -huwezi kudownload movies from torrentz, na hata kununua music au Movies from thier istore huwezi kununua hapa Tanzania. Istore ya bongo hapa you can only purchase apps au podcast.
Sasa mambo gani hayo.... Ukitaka kuweka movies zako lazim udownload kwenye computer yako then uingize kwenye simu yako through itune. Whats the use ya smartphone kama mambo yenyewe kama hayo.
Whatsapp yenyewe you have to purchase through istore wakati with samsung au android its free. (inawezekana wewe huna matatizo na kupurchase from istore) ila kwa ndugu zangu mimi huku mambo ya kununua kwenye mtatandao kuingiza info za debit card yangu kwenye mtandao ni utata.
Hizi ni flows ambazo very rearly utazikuta kwenye reviews za experts huko. But mimi natumia -iphone na nime experience hayo yote.
Mimi huwa nashauri kama mtu anaaanza kutumia smartphone, iphone sio simu nzuri yakuanzaia hata kidogo.
Android is the best OS for a smartphone mtu yoyote can adapt mapema na hawezi kupata shida. That said samsung ndo the best Smartphone with an Android OS.
Iphone imekaa kichoyo kwetu huku kwenye dunia ya tatu where we cannot afford kununua apps kubwa kubwa, wakati with android unazipata bureeee.
To download music is much easier with an samsung than an apple.
kwanza mtu mgeni akinunua iphone lazima apewe mafunzo intensive kidogo compared to samsung, la sivyo anaweza akaipiga chini jinsi itakavyo mtoa jasho.-
Lazima ajue you can only use one computer to sync data zako na iphone yako, ukitumia computer nyingine you loose the data. Iphone music data ikishakuwa sync inabadilishwa format to their format ambayo huwezi tena kuitoa na kumpa mtu mwengine, can only be used with an iphone.
Android esp iphone jinsi walivyojuu na innovation the things you could with it mwenyewe utapenda, the apps ni zakumwaga.-
Mfano unajua kama watsapp is free kwenye samsung,wakati kwenye iphone you have to purchase. Na wabongo mambo yakunza kuingiza my debit card, ni ugomvi.
So kwa mtu anayeanza kununua smartphone, kama anataka status aonekane cool, nunua iphone.
But kama anataka kupata smartphone experience, uende na wakati na technology, usikereke na kuchukia smartphone, kama hutaki kuanza kuijailbrwak your phone which will cost you ofcoz (handsomely) nunua an Amdroid phone (samsung to be exact)