iNine9
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 5,008
- 9,408
Hizo process ndio sizifahmu
Mkuu pitia huu uzi utafahamu namna ya kuroot na unafanya hivyo kwa malengo gani tafadhali soma kwa umakini huo uzi, mkuu Athanas0011 alikwisha elezea hapa hapa jamvini jinsi ya kuroot na sababu ya kuroot pitia hii thread>>> https://https-www-jamiiforums-com.0..._id_internal=925946837445621;AfrJQT8pqYRALC50