Samsung Galaxy s6 vs iPhone 6

Mbona sijaona copy yeyote hapo? Simu karibu ya zote zina saa kubwa kama hizo hapo.

Apple kaweka kati kati juu

Android kaweka juu pembeni kulia

Windows phone anaweka pembeni chini kushoto au wakati mwingine inakuwa inazungua kama animation
 
On the issue of sales apple ataonekana kuhit than samsung kwasabu yuko peke yake..
Angalia on the issue of android there's many Brands. Sony, motorola, LG, HTC n.k who compete even with Samsung with their higher end devices.

Weka sales za flagships za mwaka jana
 
On the issue of sales apple ataonekana kuhit than samsung kwasabu yuko peke yake..
Angalia on the issue of android there's many Brands. Sony, motorola, LG, HTC n.k who compete even with Samsung with their higher end devices.

Hata kwa Samsung vs Iphone peke yake, Samsung kwa mwaka mzima wa 2014 na hata 2013 ndo aliongoza kwa mauzo. Iphone aliongoza quarter ya 4 peke yake baada ya kutoa iphone 6
 
Kila mtu ana strategy yake katika utengenezaji na mauzo ndio maana samsung anatengeneza brands nyingi na hatii nguvu moja kwenye brand moja. Kwa mfano s5 na s6 unaona hatazijapishana sana lakini wakati huo huo note 3 na note 4 pia hazijapishana. Lakini pia flagship hizi za apple na samsung zimetoka kwa vipindi tofauti na hata interval kati ya kutoa model moja na nyingine ni tofauti. Kama wote wangekuwa wanatoa model zao kwa wakati mmoja tungeweza kulinganisha flagship 1 na nyingine. Ishu ilikuwa samsung vs iphone, na hizo ndio data.
 
Mbona sijaona copy yeyote hapo? Simu karibu ya zote zina saa kubwa kama hizo hapo.

Apple kaweka kati kati juu

Android kaweka juu pembeni kulia

Windows phone anaweka pembeni chini kushoto au wakati mwingine inakuwa inazungua kama animation

Mkuu ni sahihi kuto iona kwasabu sisi watanzania ni wabishi sana.
Angalia Lockscreen iliyokua kwenye iOS 6 na alivyoibadilisha kwenye iOS 7 ambayo ikafanana na android hapa chini.

Hapa ndo inavyoonekana kama android

Samsung ana drop

kupanda na kushuka sokoni ni kawaida tu, inategemea unalinganisha vitu kwa wakati gani, kwa siku, kwa mwezi, kwa mwaka. Ukifanya comparison ya mwaka italeta matokeo tofauti na comparison ya siku, wiki, mwezi au robo mwaka. Kwa robo ya mwisho wa mwaka 2014, iphone aliongoza kwa sababu ya kuzinduliwa iphone 6 na 6plus. Tegemea sana, ingawa si lazima, mauzo ya samsung kupanda kuanzia april kwa sababu ya galaxy s6
 
kwani umezitengeneza wewe mkuu?
 
Sijui kusoma Kiingereza Vizuri, samahani unaweza kunitafsiria? samahani lakini ndugu.
 
Mbona sijaona copy yeyote hapo? Simu karibu ya zote zina saa kubwa kama hizo hapo.

Apple kaweka kati kati juu

Android kaweka juu pembeni kulia

Windows phone anaweka pembeni chini kushoto au wakati mwingine inakuwa inazungua kama animation

wote wameiga symbian/meego/maemo
 
Daah sijui ni ushamba wangu au vipi lakini binafsi sijawahi kuliona tangazo kwenye TV linalotangaza iphone or etc lakini samsung daah hiyo note 4 ukiangalia mechi za uingereza ebana matangazo mengi mpaka unaweza likariri
 
budget ya matangazo ya samsung ni 12b usd. ni kama trilion 21 hivi za kitanzania, budget yetu nayo ipo mitaa hiyo hiyo. kibiashara samsung wana advertise brand na kwa vile wana bidhaa zinakugusa kila sehemu wapo sahihi, maskini, tajiri, anaetaka fridge, tv, simu nk wote wanaguswa.

ila apple yeye bidhaa zake zinagusa jamii ndogo ya watu, inabidi afanye targeted ads kwa wale watu ambao anaona wanauwezo wa ku afford bidhaa zake. hivyo ukiona huoni matangazo ya iphone ujue huenda hurtakaa uinunue
 
Naomba tulinganishe sales ya iphone 6 na 6+ vs galaxy s5 na note 3.

Hizo ndo flagships zinazotambulika

Kuweka sales nzima unakuwa hauleti ulinganifu sahihi, kwasababu mwaka jana peke yake samsung ameleta simu kibao sokoni.
 
Mkuu ni sahihi kuto iona kwasabu sisi watanzania ni wabishi sana.
Angalia Lockscreen iliyokua kwenye iOS 6 na alivyoibadilisha kwenye iOS 7 ambayo ikafanana na android hapa chini.

Hapa ndo inavyoonekana kama android

Nimekupata mkuu.
 
Mkuu hii hoja yako haija nishawishi kabisa

Unapoenda kufanya tangazo unafanya tangazo specifically unatangaza nini,
Huwezi kutangaza in general tangazo moja ukatangaza bidhaa zako zote unayozalisha

Matangazo yanayozungumziwa hapa ni ya simu zao na haswa flagship zao

Hapa tujiulize je iphone zinaongoza kwa mauzo kwa wingi wa pesa au wingi wa units? Ili tujue kwanini huyu anaye target wateja wachache anauza zaidi kuliko anaye target wateja wengi

Kumbuka iphone hana low end phone
 
Mimi samsung siwapendi kila siku wanatoa toleo jipya. Wekeni bei ya s6 na iphone 6 plus tuone nani yuko juu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…