kampuni gani inaongoza kununua waandishi wa habari na kueka double standard?
kwenye pc - apps dont matter bali quality ya hardware, kaaa na windows yako yenye mamilioni ya programs sisi hizi zetu chache zenye quality zinatosha
kwenye simu- app zina matter usinunue windows phone haina apps na games
na katika aibu kubwa inayoonyesha apple anawalipa waandishi wa habari ni hii tuzo aliopewa juzi na times kuwa yeye ndio inventor (sio innovator) wa smartwatch, just imagine smartwatch haijatoka na wala haijulikani itakuwa na nini lakini tayari wamepewa tuzo ya wao ndio wamegundua. jiulize sasa
-huyu pebble anauza nini sokoni?
-android wear haiexist?
fikiria mwenyewe kwa hali hio hapo juu why aspend hela nyingi kwenye matangazo wakati ana vibaraka kila vyombo vya habari? ni cheap kumlipa mwandishi wa habari kuliko kuspend matrilion ya hela kwenye ads
http://www.gsmarena.com/newscomm-10286.php
quality ni aggregate ya vitu vingi sana ,, os, security , services, durbility n.k and to make it simple quality is always determined by customers /consumers. ,, apple kwa hili wako juu huwez bisha
Security ya apple ni beyond compare,
ecosystem yao ni noma, apps ndo usiseme na hapa siongelei wingi tu naongelea app zilizochujwa na zenye ubora, forget about games, players n.
naongelea app zenye maana kama ITUNES amabyo ipo apple tu (by just thinking mwanamuziki gani wa US atanunua samsung/nokia/huawei/lg aiache itunes) vitu kama itunes ndo ubora naouongelea ambao huwezi upata pengine.
kwa kumalizia tu kwenye iphone unaweza ku lock simu yako then ukaacha app moja tu ikiwa unlocked mfano umemuachia mtoto aacheze game na asione vitu vyako, na haka ni ka feature kamoja tu ambako wengine watakuja kuiga in the future.
quality ni aggregate ya vitu vingi sana ,, os, security , services, durbility n.k and to make it simple quality is always determined by customers /consumers.
apple kwa hili wako juu huwez bisha maana wanauza simu zao kama njugu mpaka mjomba hapo kaamua ku copy baada ya kuona soko la high end limetekwa na apple huku soko la low end phones kampuni kibao za kichina zina take over ,. security ya apple ni beyond compare, ecosystem yao ni noma, apps ndo usiseme na hapa siongelei wingi tu naongelea app zilizochujwa na zenye ubora, forget about games, players n.
naongelea app zenye maana kama ITUNES amabyo ipo apple tu (by just thinking mwanamuziki gani wa US atanunua samsung/nokia/huawei/lg aiache itunes) vitu kama itunes ndo ubora naouongelea ambao huwezi upata pengine. Apple ni simu pekee inayo receive updates instantly yan zikitoka tu we una update,
simu nyingine mpaka zipite some weeks kama sio months na hii ni kutokana na kutegemea android, leo hii nikishika simu yako ya samsung naweza kui unlock in some minutes hata kama umeweka lock ya aina gani , ila kwa iphones mpaka hackers wa ukweli wameshindwa na hii ndo maana nzima ya quality hamna kingine maana kama suala ni, battery, ram, camera 13mp, large screesns sijui nini hata techno na lenovo wanavyo hivo vitu ila iphone itabaki kuwa iphones ,
mfano mdogo tu fungua facebook kwenye ipad af fungua hiyo hiyo facebook kwenye tabs zingine kama za samsung utashangaa kwenye ipad imekuwa optimised sana na inapendeza wakati kwenye pads zingine ni just phones with enlarged screens.
mfano mwingine mdogo tu angalia apple na samsung au nokia nani anapiga adverts kibao, apple unawez zunguka mji mzima na usione tangazo , washa tv ni mara chache kuona appe wanajinadi na hii si tu kwa tanzania tu, hii inamaanisha wao wanauza kwa customer recommendation marketing. imefikia kipindi mtu unaona iphone tu ndo simu peke yake wengine ni me too ....
kwa kumalizia tu kwenye iphone unaweza ku lock simu yako then ukaacha app moja tu ikiwa unlocked mfano umemuachia mtoto aacheze game na asione vitu vyako, na haka ni ka feature kamoja tu ambako wengine watakuja kuiga in the future.
kama we ni mtizama michezo mzuri jaribu kufuatilia celebrities wanamiliki simu gani, utakuta 80% ni iphone ilifikia kipindi steve ballmer aliwapiga mkwara wachezaji wa timu yake ya kikapu kwa kuwa wanatumia ipads mpaka akawalazimisha watumie tabs za microsoft .... that is what we call QUALITY
Ni nacho ipendea iphone dhidi ya simu zingine za Android ni kwamba wapo vizuri sana kwenye customization na optimization ya ios kurun very smooth kuliko Samsung zenye specification za kutisha
Usishangae kabisa iphone ijayo ikawa na 1GB ram, 8MP camera, CPU Speed ikawa chini ya 2GHz, Resolution ikawa chini ya 2000 kwa mamia, Pixels ikawa chini ya 500Pii, LCD Latina Display nk lakini ikazishinda mbali sana simu za Androi zenye pengine hata 10GB ram na 50Mps camera
Tuliwahi kufanya majaribio iphone 5 vs S5, kufungua apps moja baada ya nchingine bila kuzifunga, dude trust S5 alichemka mbali sana Iphone kitu laiini inafungua tu na ipo verry stable, lakini sasa ukiangalia hizo spec za s5 ni kubwa mno kuliko iphone 5
Jinsi iOS inavyorun thread ni tofauti na android ndomana android forever will never beat iOS on UI rendering...
Uki touch tu screen ya iphone ina stop process nyingine zote nakufocus ulipotouch wewe, android haifanyi hivi.
Ukitaka speed also you may pick windows cuz it happened to beat iOS in such.
Android - Slow
Windows - Fast
iOS - Stable
Ngoja niitafute windows phone moja niijaribu naona inasifiwa sana
But so far bado naamini ios is the best on my opinion kwasababu natumia Android na ios
Ngoja niitafute windows phone moja niijaribu naona inasifiwa sana
But so far bado naamini ios is the best on my opinion kwasababu natumia Android na ios
Unachanganya na Ushabiki
hardware na Software... wanapomzungumzia samsung hapa ni ishu ya how its look.. Habari za OS, security and Services sio kazi yao ni kazi ya Google.
Ubora na umaarufu ni vitu vinaendana sana lakini vina tofauti kidogo. Kivipi?, Iphone ni maarufu sana na moja ya sababu kubwa ni kwa sababu ni brand ya kimarekani hivyo Loyalty inafanya kazi hapa. Nikibeba Lumia 930 na mwingine akibeba iphone 4, mwenye iphone ataonekana amebeba kitu cha maana sana. Jinsi ulivyoongea tu inathibitisha nayoyasema
1. Loyalty ndio inayofanya apple wauze sana simu zao, lakini bado kwa mauzo hawazidi brand kama samsung kwa ujumla
2. Updates za apple zinafika kwenye simu zote kwa wakati mmoja kwa sababu wana brand chache sana. Sio kama samsung au lumia ambao wana utitiri wa aina tofauti za simu. Kwa hiyo hapa si suala la efficiency ila uchache wa aina za simu.
3. Kwenye security, Apple peke yake sio kuwa inaongoza kila kitu, hujui windows phone? labda kama unafananisha na android. Watu wanafanya jailbreak kwenye iphone, Sijasikia kwenye windows phone. Android labda ni less secure na hii ni kwa sababu wao ni open source, makampuni na watu wanaweza kucheza na os.
4. Unakosa ufahamu kuhusu simu nyingine na ubora wake ndio maana unakazana kusema apple ipo juu kwa kila kitu. Suala la kuacha app 1 au baadhi tu ndo ziwe accessible ni kitu ambacho kipo kwenye lg g2 (guest mode), windows phone wanayo (apps corner na kids corner), sasa upekee wa apple kwenye hili uko wapi.
Jaribu kuwa objective kwenye comparison
najua ni kazi ya google ila customers are only interested in the final product , huwez sema ngoja ninunue hii simu najua ina housing mbaya ila hii housing sio wao wanaotengeneza kwa hiyo poa tu ngoja niinunue... kila kampuni ina outsource hata apple ana outsource and its the best thing ila outsource unayoifanya ikikufanya ushindwe wewe ndo unakuwa umeshindwa sio suppliers wako maana huo ni uamzi wako.. kwa hiyo sula la android kutokuwa na security eti siyo problem ya samsung ni kujidanganya na haina maana.
if u know ur the best weka yako imshinde mwenzio
sija overhype chochote na ndo maana umeshindwa kukataa ukaja na excuse ya blackberry? we cant talk about bb and am not going to talk about it just because ni failure. lets talk about big dogs tuachane na yaliyopita maana huwez linganisha apple na BB kwa sasa ni wastage of time and after all BB wamefeli kwa sababu ya sharpness ya wengine kina samsung na apple.
sijatoa games na players labda hii lugha sio lugha mama ndo maana umeshindwa kunisoma hapo kwenye spoken english niliposema (forget about games and players) sijamaanisha nimezitoa.
back on topic apple beats android kwenye apps for a number of good reasons 1. apple hawana junk apps na useless apps huwa wanazichuja na kuziondoa wakati android wana apps kibao nyingi ni useless, recently apps za android zimeongezeka in number and interms of downloads na nyingi hazina ubora au ni useless, zile app zetu za fingerprint scanner, body scanning wakati wanajua simu haiwezi emmit hizo rays za ku sacn, solar charging wakati wanajua kabisa simu haina photovoltaic cells, , ndo sababu kuu kwamba android beats apple in number of downloads by a certain percent but the amazing thing ni kwamba apple beats android in revenue from downloads made, hii inakuonesha ubora wa apps za IOS... (download nyingi za junk apps vs revenue kubwa ) shows who is in better position.
oooos hapa sina cha kuongea maana ningependa kuona wame copy kitu gani isije ikawa ni assumptions?. nikuache na mfano mmoja kwenye ios kuna app inaitwa find my phone na kwenye android imo pia ila ya apple ni ya ukweli hata uki reset phone inakukamata ila kwa android ni brainwash maana dk 5 tu ushaibypass.
mkuu """"THE BEST THINGS ARE FREE AND ARE TO BE SHARED AND KNOWLEDGE IS ONE OF THE GOOD THINGS """"
Unasema samsung anamzidi apple kwenye mauzo?? Au nimeelewa vibaya?
For your opinion yes kwasabu always naamini better OS depends on your daily task..
Mwingine atakwambia iOS is the best akati anatumia WhatsApp tu na for sexting
ila windows from my point of view if you're going to use it for entertainment it will going to be disappointment..
At least kwa 2014, checki hapa Led By iPhone 6, Apple Passed Samsung In Q4 Smartphone Sales, 1.9B Mobiles Sold Overall In 2014 | TechCrunch