Maybe kuhusu battery wamezingua lakini sd card ni vizuri ambayo hawajaieka sababu always watu wanataka sd card za bei rahisi na kusababisha simu kuwa slow.
s6 storage ndogo kabisa ni gb32 ambazo zinatosha kabisa matumizi ya kawaida na kama una matumizi makubwa kuna version ya gb 128. bado unalalamika sd card?
Ukumbuke s6 memory zake ni 2.5 faster compare na simu nyengine duniani mtu akieka menory card ni kama kufunga mkokoteni nyuma ya ferrari.
Kuhusu design leo hii iphone 6 imekua design ya apple? si juzi juzi tu tulikuwa tunamponda apple kwa kucopy lumia na HTC?
Mbona hapo hamna copying yyte? Tuhuma za ushindani tu hizo.. Bidhaa za US zinapgiwa promo mno ndo mana, tofaut na za kutoka Asian Pacific na kwingineko
kaka hatuongelei speed ya makumi hapa tunaongelea speed ya digits tatu.
-write speed s6 imescore 139MB/s
-read speed s6 imescore 314MB/s
-random speed s6 imescore 77MB/s
angalia hizo score then compare na zako halafu niambie utataka sd card?
maana class 4 za aggrey ni 4MB/s
ukienda posta ukapata class 6 ni 6MB/s
hata ukipata class 10 ni 10MB/s
sasa just compare hizo speed za sd card then compare na memory ya s6 utaona ni kama kuichafua simu kueka memory card.
unless ununue sd card zenye super speed na bei zake ni mamia ya dola ni bora tu ukachukua 128gb versiob.
Ku compare specs za internal memory na external memory always internal itashinda, lakini uhitaji wa external memory bado utabaki pale pale.
Manufactures wanajitahidi kila siku kuimalisha internal storage zao apart from capacity but also quality, kwasabu ikiharibika internal memory kosa linakua ni lakwao and they have to repair.
Unachokifanya hapa niku compare internal memory versus external wakati swala ni uhitaji external memory slot, ata kama internal ingekua 1000MBps na ika double untuntu benchmark test mara elfu. bado umuhimu wa external utaonekana tu in some aspects..
Mkuu atakae kubishia ni mwendawazimu
Hii simu ipo next level haifanani na simu yoyote duniani. na cha kuumiza roho zaidi ni kwamba vitu vyote vinavyoifanya hii simu kuwa special vinatoka ndani ya samsung si vitu vya nje ambavyo kila oem anaweza kuwa navyo.
-Processor ya exynos inayokuja na s6 imedestroy processor zote za simu including snapdragon 810. officially ndio simu yenye speed zaidi duniani na toka note 4 samsung wamehitahidi kuifanya touchwiz nyepes.
-Very fast memory hivyo itafanya matumizi ya simu na multitasking kuwa smooth
Lol and for the first time nimeona simu ikigonga 30 fps. Habari nzuri kwa gamers wa android atleast na nyie mfunguke macho kidogo.
kwanini pc zetu hatueki sd card ?
Simu iko poa wanaosema kaiga iphone 6 ni wivu tu
Mnazi wa samsung itakuwa umefurahishwa hapa. I agree with you kwenye vitu vingi kuhusu hii simu ingawa kwenye suala la design inabidi wakubali tu kuambiwa wamecopy iphone, zinafanana sana
Sumsung nao,juzijuzi walikuwa na sumsung s5,note 4 na leo s6 kesho utasi kia s7 nakadhalika.
memory card ni muhimu sana kwenye smartphones. HTC hawakuona umuhimu wa memory cards kwenye matoleo yao ya 'makali' ya nyuma (ukiacha One Max) tukianza na One S, One X, X+, One M7, M8 etc lakini mwezi huu wanatoa HTC One M9 ambayo inakuja na internal 32GB pamoja na uwezekano wa kuweka Memory Card upto 128GB. Finally wameona umuhimu!!Sasa wenzao Samsung wamekuwa wakitoa simu zenye memory cards lakini mwezi huu wameachia S6 isiyokuwa na Memory Card. Wameamua kuwaigiliza kina Apple (iPhone) kuanzia shape ya simu mpaka kutokupokea Memory Card!!why tunaeka sd card? kwanini pc zetu hatueki sd card? tunaeka sd card sababu internal inakuwa haitoshi. unapopewa internal memory gb 128 why utafute slow sd card ili upunguze perfomance ya simu?
kuna usb otg chomeka flash, chomeka external na unachopenda wewe kama utahitaji storage zaidi ya kuhifadhia vitu
duh mi na samsung wapi na wapi kaka? naongea ninachokielewa tu.
point yangu ni kwamba apple pia kacopy hio design so wote samsung na apple wanaingia kwenye kundi la copy and paste.
iphone 4 ilifeli vibaya mno kwenye suala la signal sababu apple walieka aluminium ya nje kama antena. mwaka 2013 htc na nokia wakatoa style ya kutengeneza simu ya alluminium na papi za plastic kwq ajili ya signal reception. iphone akaiga hio style kwenye iphone 6 na s6 pia ikafata trend. so wote ni wahanga. pia iphone 6 ina element nyingi za fabula ya n9

Hiyo kampuni hapo kwenye red inapatikana PYONGHONG , jirani na SHONGBONG BING.... Tofauti na hii inayozungumziwa hapa inayoitwa SAMSUNG..
duh mi na samsung wapi na wapi kaka? naongea ninachokielewa tu.
point yangu ni kwamba apple pia kacopy hio design so wote samsung na apple wanaingia kwenye kundi la copy and paste.
iphone 4 ilifeli vibaya mno kwenye suala la signal sababu apple walieka aluminium ya nje kama antena. mwaka 2013 htc na nokia wakatoa style ya kutengeneza simu ya alluminium na papi za plastic kwq ajili ya signal reception. iphone akaiga hio style kwenye iphone 6 na s6 pia ikafata trend. so wote ni wahanga. pia iphone 6 ina element nyingi za fabula ya n9
Mkuu mama yako alikufundisha tabia njema tu, heshima sio kwa unaolala nao na wanaokuzunguka tu ata kwa usiwajua kwenye mtandao..
Na jinsi yakubehave politely on the cyber space haitaji degree wala masters.
For that fact if disagreeing with reasonably point means uwendawazimu, then damn right i'm kichaa.