Samsung Galaxy Gear - Mwanzo wa Mapinduzi ya Saa

...mi nasubiri google glass na ile transparent smartphone (kama ya kune 5 O'Olock in the morning by T-pain/wizzy khalifa) baaaasi..
 
Mkuu Xperia tunazo siku nyingi saa
 
Attachments

  • uploadfromtaptalk1381178631389.jpg
    uploadfromtaptalk1381178631389.jpg
    10.5 KB · Views: 81
  • uploadfromtaptalk1381178686926.jpg
    uploadfromtaptalk1381178686926.jpg
    10.9 KB · Views: 78
  • uploadfromtaptalk1381178883886.jpg
    uploadfromtaptalk1381178883886.jpg
    17.4 KB · Views: 80
Mimi Nina miezi 8 sasa natumia hiyo saa kama mapinduzi basi atakuwa kaiga Samsung
 
millah mada yako inasema mapinduzi ya saa na mimi nikapinga nikasema samsung hajafanya mapinduzi ya saa sababu tayari watu walishatoa smartwatch kabla yake na nkatoa mfano wa peble na chilubi akatoa wake.
1. mauzo yanahusiana nini na ubora wa kimapinduzi?
2. supply kuwa kubwa inahusiana nini na mapinduzi ya ubora?
3. kupiga na kupokea simu hayo ni mapinduz ya simu na sio saa

tatizo we unaleta ufanboy na kuukimbia ukwel

mapinduzi yanafanywa na watu wa mwanzo tu wanaofatia sio mapinduzi tena bali ni watu ambao wamekua influenced na yale mapinduzi,

wanaofatia watahesabiwa wamefanya mapinduzi pale tu watakapoleta kitu kipya ambacho wanamapinduzi wa mwanzo hawakuweza kukifanya

1. Mauzo yanahusiana na mapinduzi kwa sababu unapouza saa laki mbili na nusu halafu ukasindwa hata kutoa toleo jengine hiyo ni failure. Kampuni kama hii haiwezi kudumu.

2. Kupokea simu kwenye saa ni mapinduzi kwa vile Pebble wameshindwa kuifanya saa yao iwe hivyo, Pebble walishindwa hata kufanya imagination ya feture hiyo.

Mapinduzi katika biashara yanaletwa na kampuni kubwa zenye uwezo wa kubadili wateja wengi sio watu 250,000 Dunia nzima. iPhone alipofanya mapinduzi sio kwa sababu tu ilikuwa ni simu nzuri bali ni kwa sababu wateja wengi waliikubali, waliinunua na wauzaji wakalazimika kuiga iPhone na kutengeza phone za aina ya Candy Bar, iPhone haikuwa candybar style phone ya kwanza, lakini mapinduzi yanakuwa ttribute kwa iPhone.

Umezungumzia Ufanboy, mimi situmii Samsung kwa sasa, kwa hiyo kama Fun ningekuwa nasifu vitu ambavyo natumia all the time, laa kama unamaanisha Fun wa Tech, yes I am and I appriciate innovation bila kujali inatoka kampuni gani. Pebble hata touch screen imewashinda, halafu unataka kulinganisha na Gear?

Labda pia nikukumbushe/nikujulishe kuwa tarehe 19 machi tuliandika makala kuhusu saa ya Pebble yenye kichwa cha maneno "Pebble Saa ya Kimtindo kwa Wanateknolojia" fuata link hii uhakikishe gajetek habari: Pebble: Saa Ya Kimtindo Kwa Wanateknolojia

Kwa hiyo kila kinachotoka iwapo tutakizungumzia tunakipa haki yake, Pebble sio saa ya kulinganisha na Gear ni madaraja tofauti kabisa. Ni kama kulinganisha Dublin University FC na Bayern Munich katika soka. Hata kama Dublin University FC ilianzishwa mwanzo. Mwisho kabisa futa kauli yako kwamba mapinduzi yanafanywa na watu wa mwanzo, mapinduzi yanafanya na wenye kuleta mabadiliko, na katika biashara mabadiliko yanayokubalika.
 
nokia 5230
imetoka baada iphone ya kwanza kutoka ikawa inashindana na iphone 3gs
featurewise mauzo na kila kitu imemshinda apple mpaka leo hii simu ndo inaongoza kwa mauzo imeuza unit zaidi ya 150 milion kwa fact zako basi hii simu imeleta mapunduzi ya touchscreen na si apple right?
nokia-5230.jpg
 
Lete takwimu kwamba hichi kisimu cha nokia kiliuzwa kuliko iPhone 3GS.

Inaelekea kwamba hujaelewa hasa kilichozungumziwa kwenye makala na hata mjadala uliondelea, sababu kuu na ya awali ni kwamba Gear ni bora mno kuliko Pebble (ndio nilikuambia huko nyuma usifananishe Paka na Simba ingawa wote ni jamii moja) Sasa umerudia tena Nokia 5230 na iPhone 3GS?

Zingatia hoja zote katika mjadala sio jibu la swali moja tu, ukishaangalia hoja zote zilizoelezwa katika mjadala ukiwemo ukweli kwamba Gear ni bora kwa namna nyingi kuliko Pebble, ndio uelete hoja kama hizi. Na ukitaka kujua zaidi angalia maada hii uone kama Pebble inaweza kusimama na Gear gajetek habari: Ipi Zaidi: Pebble Watch Au Samsung Galaxy Gear

Utagundua kuwa kuna mambo mengi Pebble hawakuweza kuyafikiria ambayo ni basic kama vile touch screen, mic, audio na video, kamera, speaker (sio vibration notification peke yake) katika hardware na katika software ndio usiseme ukizingatia kuwa Gear ni Android, sasa angalia apps zitakavyotengenezwa kwenye Gear, if sales will rock, which I'm quite optimistic it will have reasonable good sales, (Ingawa kina Brian Tong wanajaribu kui-put down kwenye Googlicious, kama ilivyo kawaida yao kwenye bidhaa za Samsung)

Halafu hichi ki-Nokia kilikuwa na hayati Symbian, hayati Resistive screen, hayati ovi store, intermal momery 70mb, no multi touch.... yaani inaonekana kama pre iphone era phone (2006 kwenda nyuma) kumbe just 2009.
 
hio simu ni all time best seller haijawah tokea simu duniani iliouza kama hio ukiwa kama fans wa simu unatakiwa uijue.

iphone ilikua haina
-true multitasking
-bluetooth file transfer
-less application
-fm radio
-nzito
-screen mbovu ya nokia ilikua nzur

je hivyo sio basic?

pamoja na yote still nokia haikua revolutionary
 
dah mnawasahau kina peble walikua na smartwatch zamani pale mwc niliwacheki.

pebble ndo alioanzisha haya mapinduzi na saa yake ipo compatible na ios na android as long as zina bluetooth.

wakati galaxy gear haiwezi hata kutuma email huku peble zamani tu wanatuma txt na email

hizi ni baadhi ya feature za pebble
1. waterproof
2. unaicontrol kwa sauti
3. ina apps na games
4.inakaa na charge siku 5 hadi 7
5.inasomeka juani
6. unachange mikanda
7. ina themes zaidi ya 100
8. ina alarm na vibration
9.inatoa notification
10. ina backlight kutumia usiku

nafkiri pebble ndo anatakiwa apewe heshima ya kuwa wa kwanza kuanzisha mapinduzi ya saa na sio samsung

photo-main.jpg

bt samsung kaweka kama cm vle
 
Back
Top Bottom