kindoki
JF-Expert Member
- Sep 17, 2018
- 213
- 218
Wadau, natafuta simu aina ya Samsung galaxy S8 au IPHONE 6, kwa bei ya maelewano , namba yangu 0758-204681
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Nakushauri ingia dukani mkuu!Wadau, natafuta simu aina ya Samsung galaxy S8 au IPHONE 6, kwa bei ya maelewano , namba yangu 0758-204681
Sent using Jamii Forums mobile app
Ilo nalo neno mkuu, ngoja nijitafakari upyaNakushauri ingia dukani mkuu!
Kupata kesi kubwa za kimtandao kwa sasa siyo kazi tena unaweza kununua simu mkononi kumbe muuzaji jana ametoka kufanya tukio baya ukaungwa kwenye chain baada ya kukutwa na kithibiti,ingia tu dukani!
Sent from my Redmi Note 5 using Tapatalk
Nimekusoma mkuu!Zaidi unaweza kusoma tahadhari hii ya wenye nchi yao.
Ujumbe kutoka Polisi kuhusu line ya simu na usajili wa simu - JamiiForums
Sent from my Redmi Note 5 using Tapatalk