Troll JF
Platinum Member
- Feb 6, 2015
- 9,280
- 13,710
Wadau naombeni kuuliza ubora wa Samsung Galaxy A36 ninataka nimununulie Bi Mkubwa simu kwake kwa ajili ya kupiga na kupokea simu she is around 60’s
Kingine Price yake inaweza kuwa shilingi ngapi? Kwa maduka ya Tanzania? Na Ni maduka gani highly recommend? Kwa sababu binafsi Samsung Sijawahi kutumia nisije nikanunua Famba.
Samasung Huwa wana verify vipi? Kama ni original au siyo?
C.c Msaada kwa wanaojua Chief- mkwawa