comrade_kipepe
JF-Expert Member
- Jun 25, 2019
- 6,465
- 11,544
KWA AJILI YA KUPIGA TU NA KUPOKEA HIYO HAPANA, MCHUKULIE HATA S23 ultra BIMKUBWA ACHA UBAHILI.
Kama hii sio gahawa jamaa atakua ana kibundaSasa mzee, kama ishu n kupiga na kupokea simu Kwann ununue hy simu tena kwa mtu mwenye miaka 60+ au unataka awe anaji snap?
Samsung unadumbukiza IMEI hapaWadau naombeni kuuliza ubora wa Samsung Galaxy A36 ninataka nimununulie Bi Mkubwa simu kwake kwa ajili ya kupiga na kupokea simu she is around 60’s
Kingine Price yake inaweza kuwa shilingi ngapi? Kwa maduka ya Tanzania? Na Ni maduka gani highly recommend? Kwa sababu binafsi Samsung Sijawahi kutumia nisije nikanunua Famba.
Samasung Huwa wana verify vipi? Kama ni original au siyo?
C.c Msaada kwa wanaojua Chief- mkwawa
Si yule Basha wako wa Michenzani..Abdul ndo nani?