"Samsung galaxy A10s inakataa kulog in

Top gun maverick

JF-Expert Member
Dec 10, 2017
2,018
2,599
Habari wapendwa natumaini mnaendelea vizuri Naenda straight to the point Nina simu Aina ya Samsung galaxy A10s, cha ajabu nikiingia kwenye account yangu kulogin hasa account yangu ya matokeo ya chuo Google Chrome, au browser nyingine kama opera mini.zote zinakataa inaniambia kuwa incorrect password na username lakini cha ajabu nikiingia kutumia pc yangu inakubali au simu nyingine.
Screenshot_20200506-144518_Chrome~2.jpg
 
Mimi naamini kuna sehemu unachanganya Herufi kubwa na ndogo, Angalia hio caps kwenye pc
 
Mimi mwenyewe yangu toka nianze kutumia naona network kwenye kudownload imekuwa nzito balaa.
 
Back
Top Bottom