Ok..ni hivi mkuu,Hii simu mi nimepewa tu kutokana na shida zangu...nikiunga internet inakubali sasa nikitaka kuitumia hiyo internet ndo inakataa yaani hata kufungua google haitaki! Pia nikiweka nyimbo za video zinakubali ila Audio hazionekani kabisaaa....Ni hayo tu mkuu,msaada hata ushauri utafaa zaidi!