SAMSUNG CLOUD

SAMSUNG CLOUD

marinemzee

Senior Member
Joined
Jul 22, 2015
Posts
113
Reaction score
69
Habari wakubwa,ninaomba msaada nime sahau neno la siri kwenye Samsung cloud simu nayo tumia na Samsung galaxy J7prime,ni kwamba simu imekua nzito haifanyi kazi km ilivyokua mwanzo sasa nilitaka kufuta kila kitu nianze upya,lakini sasa nikianza kufuta inapeleka hadi kwenye Samsung cloud inaomba neno la siri,neno la siri nimesahau naomba msaada nifanyaje
 
Tihtihtih.. Nakazia [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji38] simu yako nzuri jamani hongera sana [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
[emoji57] [emoji57]
 
Hiyo dawa yake ni kuwapelekea wanaoflash simu kila kitu kitakuwa sawa,ilishawahi kunikuta hiyo situation..
 
kama ulifungua mwenyewe hio samsung cloud utakuwa umetumia email yako. click forget password watakwambia ueke email kisha watakutumia password ama njia nyengine ya kupata upya password kwenye email yako.
 
Asante ndo nilikua naangaika tayari nimefanikiwa
 
Back
Top Bottom