Ila hizi sumsung wamejitahidi kuboresha uwezo wa kutunza chargeWakuu kati ya hayo matoleo mawili hapo, simu gani ni kali zaidi?
Jaokua sijawahi kutumia hiyo Tecno Camon 12 ila me nazikubali samsung kwakwelMkuu kali ni ipi Kati ya Samsung A30s na Tecno Camon 12 Pro?
Ila hizi sumsung wamejitahidi kuboresha uwezo wa kutunza charge
Hapo hawajaboresha ila wamepunguza uwezo. Hizo simu zinatumia Chip za kawaida dana. Hata performance yake ni kawaida. Hizi simu zao zinazolula chaji ndio zinaperformance kubwa kutokana na kutumia vifaa vya kisasa na vikubwa
tecno 12pro imezidiwa kila nyanja na Samsung a30s
Compare Samsung Galaxy A30s vs. TECNO Camon 12 Pro - GSMArena.com
Sent using Jamii Forums mobile app
Nashangaa watu wanalinganisha mlima na kichuguuTecno ni Tecno tu hata iwe imetengenezwa mbinguni, Take care usije kujuta