Samsung "A series" ni simu zenye ubora hafifu; kuwa makini

wewe unayumba aisee.

hivi kwa chini ya milioni,unaweza pata simu gani ya mwaka husika kutoka kampuni za maana inayoweza kukupa feachure za juu kila sehemu!!!!
.
 
A series ni product ya india na project ya india
 
Natumia Samsung A10 kwa kweli ipo tofauti na TECNO nilizowahi kutumia huko nyuma.

Ila kwenye kipengele cha kuchelewa kuconnect data nakubaliana na wewe wakati mwingine unaweza ukaunga bando la MB lakini bado simu inakuambia hauna data.

Ni simu nzuri kwa sisi wenye kipato cha chini. Hata mtu simshauri achukue TECNO.

Hii Samsung A10 naona ipo vizuri sana kwenye Camera mchana tofauti na TECNO.
 
Dah mtoa mada hufai hata kuwa dagaa,A10 yangu nimeiangalia hapa nimeona kama nimeshika tecno
 
Ila kwenye kipengele cha kuchelewa kuconnect data nakubaliana na wewe wakati mwingine unaweza ukaunga bando la MB lakini bado simu inakuambia hauna data.

Nadhani hii ipo kwenye Samsung zote, nipo kwenye S series na hunitokea hili tatizo kama nikitumia Mobile data badala ya WIFI, inanilazimu ni restart simu ndio nakua connected tena, nimeshaijulia so hua hainisumbui.
 
Mkuu,

Sitatumia tecno wala infinix tenaaaa... bore nitumie A01 kuliko tecno au infinix..yani mateso ya cm inaita unaiona lin haipokeleki siyataki
 
Mkuu,

Sitatumia tecno wala infinix tenaaaa... bore nitumie A01 kuliko tecno au infinix..yani mateso ya cm inaita unaiona lin haipokeleki siyataki
Na kufungua na kufunga mafaili yenyewe
 
Nadhani hii ipo kwenye Samsung zote, nipo kwenye S series na hunitokea hili tatizo kama nikitumia Mobile data badala ya WIFI, inanilazimu ni restart simu ndio nakua connected tena, nimeshaijulia so hua hainisumbui.
Haina haja ya kurestart simu unachotakiwa kufanya ni kuweka Flight Mode ON then OFF ....... itakuwa connected tena
 
Mtu anajikuna mkono unapofika
 
A series kuanzia A30 kwenda juu ziko poa sana. Hzo A10 ni kma Tecno tu iliyochangamka
A10 kama tecno? We ulisikia wapi?.A series zote zisizo na (s) ni nzuri sana.zimepotea madukani pia.
 
Hapo ukiunga bando inatakiwe uweke airplane mode sekunde chache ndio urudi huku kwenye data,ni maujanja tu kidogo,
 
Nadhani hii ipo kwenye Samsung zote, nipo kwenye S series na hunitokea hili tatizo kama nikitumia Mobile data badala ya WIFI, inanilazimu ni restart simu ndio nakua connected tena, nimeshaijulia so hua hainisumbui.
Airplane mode tu inatosha.
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…