Samson wa Hotmix EATV ni mchochezi

Ghosryder

JF-Expert Member
Joined
Jul 6, 2014
Posts
10,707
Reaction score
4,578
Jioni hii anazungumzia michezo lakini kwa mahaba yake ya wazi kwa chadema anaamua kuleta topic ya kumtaja Nape na kuongelea habari za goli la mkono huku akiwa ameandaa picha za akina Maradona za miaka hiyo na kujifanya kuuliza kwamba Goli la mkono alilosema Nape eti ni kupata ushindi hata wa udanganyifu! My take: Jambo lilishajadiliwa kitambo na mwenyewe alishalitolea ufafanuzi iweje leo iwe ndio habari ya kila siku hapo eatv? lengo lake ni nini?
 
Tulia ww, hii tabia ya kipuuzi si ndio mnaitumia kila siku tbc1 kuwaonyesha viongozi wa upinzani na mikono ya albino? Ama unadhani tumesahau ule upuuzi wa kamanda Msangi siku ile. Tunajua mmejiandaa na wizi wa kura ni bahati mbaya mropokaji Nape katoa siri hadharani.
 
Mleta mada mbona umeumia sana? Jee nape hakuumiza upande mwingine?
 
hv kwanza nape alisemaje kuhusu hiyo kauli?
 

Samson Mpuuze Hawa CHADOMO Wana Siasa Za Kitoto Kununua NGOs, Media, Wanaharakati Wa Amplify Agenda Zao Ili Waonekabe Wana Support.
Wakija Ballot Boxes Wanapigwa.
Isitoshe Hata ITV inajulikana kwa Mtu Yeyote Serious..., Labda Kipofu Tu
 
Ahaaaa! mleta mada yamekufika hapaaaaaa! kwani ww inakuuma nn wakati huo ni ukweli kabisa
 

Hii thread directly imeingia kwenye Top 4 ya threads za kipuuzi kuwahi kutokea JF
 

sasa hapo samson kamde kakosea nini?kwani hayo maneno Nape hakuya zungumza?acha kutetea utumbo wewe wakati tunaibiwa rasilimali zetu na wachache ww unatetea ujinga
 
Kwani nape hakutamka?Au ulitaka ajadili goli la mguu sio la mkono la nape
 
Sasa uchochezi hapo uko wap?? we jamaa wewe!!
 

Nenda kamshtaki mahakamani.
 

We wa ajabu kweli, simply a gander, badala ya kumlaumu Nape unamlaumu Samson? Stupidity at its best
 
Umetumia nini kufikiria? jinsi yanavyo tumika maneno ya busara kuwapa watu heshima zao mara kwa mara na ndivyo itavyotumika kwa maneno ya kipuuzi kuwashusha heshima zao kwenye jamii. Nape alitamka hilo na halifutiki nasapoti na kwenye kampeni zenu za ccm sasa hivi acheni kutumia wosia wa baba wa taifa, tumieni kauli za Nape.
 
Hivi kujadili kile alichokisema nape ndio kuwa na mahaba na chadema?Mleta mada cjaona uhusiano wa uchochezi na alichokisema samsom!Amechochea nini?
 


Uhuru wa kuongea,halafu ukumbuke kauli ya hyo Chakubimbi Nape haijawahi kufanyiwa manuva katika tasnia ya kiburudani,kama mlisha lijadili nyinyi wati wa siasa sawa,kwetu cc watu wa burudan bado,ndo zam ytu now
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…