Samson Mwigamba: CHADEMA kuna ubaguzi

Watanzania wa sasa ni waelewa,sio kama wale miaka ya 1990s,Mwigamba lazima akili kwamba alikosea,hayo mengine ni maneno tu.
 
Anachokisema Mwigamba kina mantiki kwani haiwezekani masuala yanayohusu matumizi ya ruzuku yafanywe na watu watatu Mboo e, Silaha na mkurugenzi halafu eti maoni yafanyike kwenye kikao.Huu ni utapeli unaofanywa na baadhi ya wanasiasa wenye tamaa ya madaraka kwa malengo ya kujinufaisha wenyewe na mali za wananchi,kwani cdm si ya mama zao.
 
Kwanza anakiri kazi kubwa iliyofanywa na Mbowe, alafu anataka akae pembeni wakati bado kazi aliyoianza aijaisha, ili tumweke nani kwa sasa ikiwa kazi aliyofanya mbowe bado aijaisha na ameifanya kwa mafanikio makubwa na je tukiweka mtu kwa kuhisi kuwa atafanya kazi kama aliyofanya mbowe alafu akatuharibia chama wakati tumefika hapa tulipofika kwa sacrifice kubwa itakuwaje. Mara ya kwanza nilidhani kwamba mwigamba ni mzalendo na ni mwana chadema wa ukweli lakini ukweli uliopo ameshakuwa mamluki.

Kamanda napenda kukutaarifu kwamba umepotea, nilikuwa nadhani kweli wewe unakitakia mema hiki chama lakini kumbe ni mamluki zitto anakutumia vibaya ila ninajua Zitto huwa asaidii mtu bure sasa amekuingiza kwenye hili.

Kamati Kuu mshuhulikieni huyu mtu, hakuna mtu wa kukaa nafasi ya Mbowe hilo linapaswa kufahamika na mlielewe na sababu zinafahamika kwanza haongeki, hanunuliki na tatu kwake yeye ni Chadema kwanza na kama kujitolea ameshajitolea sana, baada ya ccm kushindwa kila kona sasa wameamua kutumia karata ya mwisho katika uongozi uliopo madarakani.

Napendekeza uchaguzi usifanyike mpaka 2016, alafu tuanze kutimua mamluki wote na kubaki na wanachama wa kweli wa chadema
 

wakivushe kukipeleka wapi ? na kimeishavuka CHADEMA ndio mpango mzima na Mbowe, Slaa ndo makamanda wenyewe,
msiltuletee za kuleta sijui huyo Mwingamba ni nani , Ukiwaondoa hawa makamanda ndo chama kitazama. Achana na mapandikizi haya sie Slaa tumeishawakabidhi nji hii ! watupeleke kwenye maziwa na asali
 
Inaelekea bwana MwanaDiwani unamatatizo makubwa ya akili! Ni juzi tu mwenyekiti wenu wa CCM taifa bila kumung'unya maneno alisema chama chenu kimejengwa katika misingi ya rushwa! mimi nilidhani wewe ukiwa miongoni mwa viongozi wa CCM ungejikita kukiokoa chama chenu na dhahama ya rushwa badala ya kuing'ang'ania CHADEMA!
 
Namshauri Mwigamba aondoke mara moja Chadema afanye kazi za waliomtuma kuleta malalamiko humu Jf. Apende asipende ndio hapa amegota! Akae asubiri kupokea barua ya kumfukuza uanachama.
 
Nimepoteza muda kuisoma thread............ Nime faint kukuta source eti ni Habari Leo!
 
Kikwete aliyeshindwa mbona hamjamtaka akae pembeni wengine waongoze?
 
Kwa hiyo bandiko lake aliloliweka humu alikuwa anajenga chama siyo?ahamie CCM kuna uhuru wa kuhara unavyojisikia!refer KOLIMBA
 
Sumu ya CHADEMA ni mtu anayetaka UWAZI.

Katafute uwazi kwenu,kila siku porojo tu badala ya kuleta maisha bora kwa kila mtanzania.hebu jipimeni,hivi hizi siasa zenu za majitaka na upambe wa kifala hapa jukwaani toka muanze zimewalipa? mbona me naona ni wale wale mnaoshabikiana wala hamuongezeki? mtamdanganya nani hapa jf asiyejielewa huyo? mnapoteza muda tu.
 
Unganisha dots kwenye bolded sentesi ambazo ndani yake zitakupa angalizo kamili la ubaguzi ulivyo ndani ya CHADEMA.
 
Chadema imeishawazoea hawa wasaliti kwani Hata Kaburu alikuwa makamu wa Mwenyekiti Chadema Taifa na sasa Mwenyekiti wa magamba huko Kigoma; kwahiyo siyo ajabu na Mwigamba akaishia huko huko , waacheni waende wana kwenda!!!
 

Unatokwa povu bure tu maskini wewe,mapato na matumizi ya chama gani yanapatikana kwenye mitandao ya kijamii? kama wewe mwanachama wa cdm nenda ofis zinazohusika upate maelezo.ni upumbaavu tu kudai mapato na matumiz ukiwa nyuma ya keyboard
 


Usirukie vya Mwenzako wakati vya kwako si VIZURI HATA KIDOGO... kuna UGOMVI wa UVCCM - Katibu Mkuu yuko DODOMA isipokuwa Mnazuia habari sisitoke ni UCHAFU GANI UKO HUKO...

Kuwa Mkweli...
 
Unganisha dots kwenye bolded sentesi ambazo ndani yake zitakupa angalizo kamili la ubaguzi ulivyo ndani ya CHADEMA.

Nani aliyetakiwa kuadhibiwa hakuadhibiwa?na hao wanaoadhibiwa kama yeye,wanabaguliwa kwasababu zipi?Alichosema yeye ni kuwa kuna wanaosikilizwa,na kawataja majina,atueleze ni msaliti gani ambaye haja adhibiwa kwa usaliti wake,acheni porojo.
 
Naona Mwigamba anaenda njia ya Shonza kwa kasi ya ajabu. Shonza alikuwa anasisitiza bado ni Makamu BAVICHA, mara ni mwanachama mtiifu wa CHADEMA huku akizidi kueneza tuhuma chafu na za uongo dhidi ya CHADEMA na viongozi wake (hasa Dr. Slaa na Mh. Mbowe). Now before our very eyes we're entertained with a re-run, courtesy of Samson Mwigamba!

Nafikiri ni busara na haki Mwigamba akaenda chama ambacho kinakidhi matakwa na matashi aliyonayo kuliko kung'ang'ania CHADEMA.
 
hapo j mushi aliyeingia choo cha kike ni mama yako. Fuatilia kwa kina siyo unakurupuka ka Pimbi. Zito Kabwe mwenyewe haelewi na ndio maana cdm mpaka hivi sasa haijapeleka mahesabu ktk kamati yake
Chunga mdomo wako,akiingia choo cha kike mama yangu kuna shida gani?Unafahamu maana ya "metaphor"?kama uelewa wako ni mdogo unakuja kfanya nini jukwaa hili?

Usiingize issue zisizohusika kwenye mada.Na ukiendeleza matusi unajuwa taratibu za hapa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…