Mgogoro wa CHADEMA ni wa wanachadema, wengine ni watazamaji tu na wala msitafute mchawi kwingine. MBOWE na SLAA wakubali tu wameshindwa kutokana na uchu wa madaraka na Ubinafsi na hivyo wakae pembeni wengine wakivushe chama kutoka hapo kinapotaka kuzamia.
Dhambi ya usaliti ni mbaya ssana....
Inaelekea bwana MwanaDiwani unamatatizo makubwa ya akili! Ni juzi tu mwenyekiti wenu wa CCM taifa bila kumung'unya maneno alisema chama chenu kimejengwa katika misingi ya rushwa! mimi nilidhani wewe ukiwa miongoni mwa viongozi wa CCM ungejikita kukiokoa chama chenu na dhahama ya rushwa badala ya kuing'ang'ania CHADEMA!Ulaghai kisiasa ni nguzo dhaifu sana katika mazingira ya siasa endelevu.
CHADEMA kilianzishwa kilaghai na kwa maana hiyo lazima uwe mlaghai kuweza kuwa kiongozi endelevu ndani yake, ndiyo maana wale walaghai ndiyo wanapandishwa vyeo na wasio walaghai wanatapata msukosuko mpaka uongozi wao utakoma.
.
Haishindi ya ubaguzi isee
Kikwete aliyeshindwa mbona hamjamtaka akae pembeni wengine waongoze?Mgogoro wa CHADEMA ni wa wanachadema, wengine ni watazamaji tu na wala msitafute mchawi kwingine. MBOWE na SLAA wakubali tu wameshindwa kutokana na uchu wa madaraka na Ubinafsi na hivyo wakae pembeni wengine wakivushe chama kutoka hapo kinapotaka kuzamia.
Sumu ya CHADEMA ni mtu anayetaka UWAZI.
Ulizaliwa katika mazingira ya kifafa cha mimba!MBOWE na SLAA wakiwashinda , tutawatoa sisi tusiyo wanachama kwa sababu tunataka chama kiwe cha watu na siyo taasisi ya mtu.
Unganisha dots kwenye bolded sentesi ambazo ndani yake zitakupa angalizo kamili la ubaguzi ulivyo ndani ya CHADEMA.Hapa nashangazwa sana,pengine moderators wata take a note on this.
Umetumia neno "ubaguzi" ili tu kukipaka matope chama cha chadema na kukipa sura mbaya mbele za macho ya wanananchi.
Kiukweli malalamiko yake ni kwamba kina profesa Baregu,Dr Mkumbo et al,wanasikilizwa kuliko yeye.Sasa chama kina ubaguzi gani hapo kama kuna viongozi ambao maoni yao yanasikilizwa zaidi?
Pengine angekuwa mjanja,basi angewatumia hao viongozi "wanaosikilizwa" kufikisha hoja,hao wanaosikilizwa,na si kujitetea kwa usaliti wa wazi kabisa.Sanasana wewe mwenyewe ndo ulijipindua ukaweka na linki ya computer yako...ukaumbuka.
Mleta hoja heading yako ni ya kipotoshaji,elezea ubaguzi wa chadema kwa kutumia muktadha wa hoja ya thread hii.
MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) mkoani Arusha, Samson Mwigamba, ambaye amesimamishwa kwa muda usiojulikana, ameelezea namna uongozi wa juu wa chama hicho, unavyobagua watu wa kuwaadhibu wakati wa kutoa maoni kuhusu chama.
-----------------------------------------------------
Kawaida hiyo kwa mujibu wa Mwigamba, imetokana na Katiba ya Chadema, kukataza viongozi kutoka hadharani na kuzungumza mambo ya chama, badala yake watumie vikao. Hata hivyo, kwa mujibu wa kiongozi huyo ambaye amewahi kufanya kazi makao makuu ya Chadema, vikao hivyo vimeshindwa kushughulikia udhaifu wa uongozi kwa kuwa kila anayejaribu kuhoji, hutangazwa kuwa msaliti wa chama.
------------------------------------------------------
"Ni wajumbe wachache sana kwenye Kamati Kuu kwa mfano ambao bado wanaweza kusimama kidete na kukosoa uongozi, watu hao hawazidi watatu au wanne, ambao ni Dk Kitila Mkumbo, Profesa Mwesiga Baregu, Mzee Shilungushela (amemtaja kwa jina moja) na mzee Sgerembi ambaye sasa ni marehemu," alisema Mwigamba.
Anachokisema Mwigamba kina mantiki kwani haiwezekani masuala yanayohusu matumizi ya ruzuku yafanywe na watu watatu Mboo e, Silaha na mkurugenzi halafu eti maoni yafanyike kwenye kikao.Huu ni utapeli unaofanywa na baadhi ya wanasiasa wenye tamaa ya madaraka kwa malengo ya kujinufaisha wenyewe na mali za wananchi,kwani cdm si ya mama zao.
hapa ndo napo wachoka wapinzani na wafuasi wake eti kwasababu fulani yuko hivi na wewe ukiangukia kwenye mkumbo huo ukiambiwa unaanza kufanya mfanano,badala wewe ujipambanue kujiweka sawa unang'ang'ania uwozo wako huo huo,Chdema itauwawa na vitu na vijimambo vidogovidogo,huku viongozi na na makada wakibaki kubwatukia usaliti,masalia na kadhalika
Unganisha dots kwenye bolded sentesi ambazo ndani yake zitakupa angalizo kamili la ubaguzi ulivyo ndani ya CHADEMA.
Chunga mdomo wako,akiingia choo cha kike mama yangu kuna shida gani?Unafahamu maana ya "metaphor"?kama uelewa wako ni mdogo unakuja kfanya nini jukwaa hili?hapo j mushi aliyeingia choo cha kike ni mama yako. Fuatilia kwa kina siyo unakurupuka ka Pimbi. Zito Kabwe mwenyewe haelewi na ndio maana cdm mpaka hivi sasa haijapeleka mahesabu ktk kamati yake