feyzal
JF-Expert Member
- Apr 20, 2016
- 8,921
- 18,351
Hela haimtoshi mtu mzeeHuyu hana njaa ya kucheza timu za bongo
Hela haimtoshi mtu mzeeHuyu hana njaa ya kucheza timu za bongo
Nani amesema anamuendekeza? Acha shobo dogo.Wewe unatosha kumuendekeza
Mzee kwani unaelewa nini kusema serikali imuendeleze?Mtu aliyewahi kucheza Aston Villa na kulipwa zaidi ya milioni 70 Tshs kwa wiki, serikali ya Tanzania imuendeleze tena!?, haya mawazo huwa mnayatoa wapi!?..
Atoke kulipwa mamilioni aje Bongo kuunga unga!!!??? Samatta alishasema hatacheza tena ligi ya Bongo, labda aje kama mmiliki/muwekezaji wa team.Aende uarabu akapige pesa miaka 3 atakua na 40 maana now 37 then aje Bongo hasa pale Vyurani kutafuna pesa ya GSM kabla ya kutundika daruga zake.
Samatta hata akiwa kocha hawezi kufundisha Tz, connection yake ni kubwa mno hawezi kukosa team hata za madaraja ya kawaida Ulaya au za vijana.Kwa sasa aende uarabuni kumalizia soka, kisha asomee ukocha na mwisho arejee Tanzania kufundisha. Miaka mitano ajayo tumuone akiwa kocha wa timu kubwa hapa Tanzania.
Ajifunze kwa akina Juma Mgunda, Zakaria Kinanda, Abdallah Kibadeni, na sasa kwa Juma Kaseja, Selemani Matola, Mexime nk.
Hayo madini nampa, akafanyie kazi.
NAKAZIA. Na pia ni Agent wa wachezaji.Samatha anasimamia Academy ambayo inapatikana South Africa na muda mwingi wa likizo huwa anakuwa SA.
Kwahiyo the guy is very genius usitegemee kuja kuwa Kama hao akina kaseja n.k
Akimaliza Maisha ya Mpira ataendeleza Maisha katika sehemu zinaoeleweka na sio kirudi nyuma
Nakubaliana na hilo kuna Kijana tunatoka kijiji kimoja Samatha alimchukua na sasa yupo SA.NAKAZIA. Na pia ni Agent wa wachezaji.
degree si shida kuipata yule, mwezi mmoja tu ataipata, si unajua degree za siku hizi zinavyopatikana kirahisi?Hana degree...si unajua sheria mpya ya Karia
Serikali ya nini!?, bado unatetea sentensi ya serikali imuendeleze!?..,ajiendeleze mwenyewe akifuzu masomo ya ukocha aombe nafasi ya kocha wa taifa, Azam, Simba n.k. Kwa maana nyingine aingie kwenye soko la makocha kama mtu yeyote, kwa mfano serikali ikimuendeleza na kumpa kazi ya ukocha wa timu ya taifa, akiboronga inafanyaje!?.. na wewe nikuulize, kwanini asijiendeleze mwenyewe?, kwanini serikali ihusike?, itawaendeleza wangapi!?, au huelewi unachomaaanisha??Mzee kwani unaelewa nini kusema serikali imuendeleze?
Acha ngebe dogoNani amesema anamuendekeza? Acha shobo dogo.
Kimsingi kama nchi inatakiwa imeundeleze huyu awe kocha wa timu ya Taifa.
Dogo at sete seven?Huyu dogo alipotemwa Aston Villa tu ndipo career yake ikaisha moja kwa moja, baba yake alimponza sana kwa kuropoka hovyo kwenye media akidhani anamsaidia mwanawe.
Raisi anatakiwa kuwa na degree na uwezo wa kuhonga kupata endorsment 46 kati ya 47Namuombea apate timu nyingine, ila akiamua kurudi home. Asiwe kocha natamani aje kuwa Raisi wa TFF ataitendea haki. Amecheza mpira wa ndani, wa nje amejifunza vingi, vitatusaidia.
wabongo wana dharau..Unaweza kumkuta huyo anayemwita hivyo yupo under 30 na hana hata 500 mfukoni.Dogo at sete seven?
Aliropokaje mkuuHuyu dogo alipotemwa Aston Villa tu ndipo career yake ikaisha moja kwa moja, baba yake alimponza sana kwa kuropoka hovyo kwenye media akidhani anamsaidia mwanawe.
Akajiunge na Simba veterans kutamfaa zaidiKlabu ya paok imethibitisha kuachana na Samatta siku ya janaView attachment 3385180
Sio ken gold akapambane na Bernard mollison...🤣Arudi bongo kucheza namungo
Hao uliwataja hakuna anaeza jifunza kwao..muhimu ajifunze kwa akina aliou cise, lamine ndaye,emanueli amunikeKwa sasa aende uarabuni kumalizia soka, kisha asomee ukocha na mwisho arejee Tanzania kufundisha. Miaka mitano ajayo tumuone akiwa kocha wa timu kubwa hapa Tanzania.
Ajifunze kwa akina Juma Mgunda, Zakaria Kinanda, Abdallah Kibadeni, na sasa kwa Juma Kaseja, Selemani Matola, Mexime nk.
Hayo madini nampa, akafanyie kazi.