Sikubaliani na watu wanaosema jeshi lichukue nchi.
Hata mimi sikubaliani na Jeshi kutwaa mamlaka ya kiraia..
Lakini kama italazimu, ni bora wachukue washughulike na wahuni wote ndipo warejeshe mpira kwa raia..
Iwe tu hivyo, maana sisi kama raia tumeshindwa kujisimamia na kujiongoza..!
Jeshi linatakiwa kusitisha uchaguzi na kuakikisha reforms zinafanyika ndipo uchaguzi ufanyike
Hopefully, hiki ndicho kinachoendelea kujadiliwa sasa..
It's such simple, kwamba:
1. Bi Samia alazimishwe ku - step down kama mgombea u - Rais huko CCM
2. Bi Samia alazimishwe kuitisha bunge haraka na mapema iwezekanavyo ili lifuate utaratibu wa kikatiba kuahirisha uchaguzi hadi mwakani Oktoba, 2026 na serikali iliyopo iongezewe muda kuwepo madarakani kwa mwaka mmoja zaidi
3. Kuitishwe mkutano wa kitaifa wa reconciliation na kurekebisha sheria na taratiba zinazokwaza wananchi kushindwa kushiriki kwenye masuala ya uendeshaji wa nchi yao kupitia chaguzi huru, wazi, za haki na zinazoaminika
4. Bi Samia afute kesi zote za kisiasa na kuwaachia wote walisweka ndani kwa makosa ya uongo ya kisiasa. nk
#Tuko jikoni, tunajadili haya. Don't worry, kila kitu kitakwenda sawa. Nakuhakikishia kuwa, Rais Samia akiyagomea haya, hatakuwa na choice bali yeye na watu wake have to be ready to face the consequences of their actions...