GE2025 Samia, umeshinda Urais washa internet sasa!

GE2025 Samia, umeshinda Urais washa internet sasa!

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Ni vigumu kwa mapinduzi ya kiraia kukamilika ndani ya siku tatu. In recent history, successful popular uprisings elsewhere (Egypt, Nepal, Madagascar, etc) zimedumu kwa takribani wiki moja au zaidi.
Tahrir square
 
Inashangaza sn kwa kwl.

Hivi internet inahusika vp na usalama wa inchi?
Sisi tulio nje ya inchi inatupa msongo wa mawazo sn.
Sijuwi family yng inaishije na ipo kwenye hali gn?

Mambo ya kishamba sn wanaleta hawa jamaa..
 
Wote hawapatikani,mtu hujui wako vipi
 
HOFU ya nini ?si mmekwisha Tangazana kama washindi ?basi washeni internet!
primary concern ni usalam wa nchi, haikuwa uchaguzi wala kuapishwa, wale wanahamasisha maandamano na fujo wantumia internet kama njia ya mawasiliano Kwa mujibu wa waziri wa mambo ya nje.

Hata siku ya uchaguzi internet ilikuwa inpatikana na live coverage mpaka mida ya saa sita za mchana, fujo zilizpo kithiri na kuhamasihwa watu kutoka ktk maandamano na fujo ndipo yalipo anza haya mambo ya kufungia internet. Too bad jirani zetu wana mchango mkubwa sana ktk hali hii ya usalama
 
Wameamua kukomoa watu!

Ila hili la kuzima internet ni jambo ambalo serikali inatamani kulifanya kwa muda mrefu sana ni vile tu wakizima mambo mengi sana ya msingi yanakwama
 
Ndy mkuu,,Sasa kama wamezuia watsap calls hata ukiwa nje ukipiga directly simu haziendi,
Unawapataje ndg na jamaa ?
Jaribu kutumia app ya talk 360 , au yolla wana creat automatic virtual sim card so Simu zinapita kama kawaa...na message unatuma vizuri tu , sema lazima uweke pesa kidogo
 
Shi
Jaribu kutumia app ya talk 360 , au yolla wana creat automatic virtual sim card so Simu zinapita kama kawaa...na message unatuma vizuri tu , sema lazima uweke pesa kidogo
Tatizo nipo melini mkuu,,
Sina nafasi ya kuweka pesa kwa simu.
Hata application za kibank pia zinazinguwa.
 
Inashangaza sn kwa kwl.

Hivi internet inahusika vp na usalama wa inchi?
Sisi tulio nje ya inchi inatupa msongo wa mawazo sn.
Sijuwi family yng inaishije na ipo kwenye hali gn?

Mambo ya kishamba sn wanaleta hawa jamaa..
GT bado upo Uswiz unakula mema?
 
Leo kaamua kuwasha, naona Watanzania wanafikika sasa kama upo ng'ambo
 
Perishable goods zinaendelea kuoza huko mipakani wakati watu wanagonga glassi huko Idodomya.
 
Back
Top Bottom