figganigga
Platinum Member
- Oct 17, 2010
- 26,662
- 59,100
Samia Suluhu Hassan hana cha kutuambia Watanganyika. Yaani atasema nini ambacho kitafanya tumuelewe miezi Miwili baada ya kuua watoto wetu?
Uongozi wake umeua watu zaidi 6a Waliokufa vita ya Kagera.
Samia anataka kumhutubia nani? Ili iweje?
Salaam za Mwaka mpya ambao Waislam hawauttambui? Yeye si anadai ni Mwislamu?
Tunataka miili ya ndugu zetu tukawazike wenyewe.
Anaongea au anahutubia taifa kama nani? Muuaji, Mtekaji, au mbambikizia kesi?