Samia Suluhu utatuambia nini Watanganyika? Huna

Samia Suluhu Hassan hana cha kutuambia Watanganyika. Yaani atasema nini ambacho kitafanya tumuelewe miezi Miwili baada ya kuua watoto wetu?

Uongozi wake umeua watu zaidi 6a Waliokufa vita ya Kagera.

Samia anataka kumhutubia nani? Ili iweje?

Salaam za Mwaka mpya ambao Waislam hawauttambui? Yeye si anadai ni Mwislamu?

Tunataka miili ya ndugu zetu tukawazike wenyewe.

Anaongea au anahutubia taifa kama nani? Muuaji, Mtekaji, au mbambikizia kesi?
SAMIA NI MUUAJI
SAMIA NI MHAINI
SAMIA SIYO RAIS
SAMIA ......
 
Samia Suluhu Hassan hana cha kutuambia Watanganyika. Yaani atasema nini ambacho kitafanya tumuelewe miezi Miwili baada ya kuua watoto wetu?

Uongozi wake umeua watu zaidi 6a Waliokufa vita ya Kagera.

Samia anataka kumhutubia nani? Ili iweje?

Salaam za Mwaka mpya ambao Waislam hawauttambui? Yeye si anadai ni Mwislamu?

Tunataka miili ya ndugu zetu tukawazike wenyewe.

Anaongea au anahutubia taifa kama nani? Muuaji, Mtekaji, au mbambikizia kesi?
Muuaji asiye na huruma kwa wananchi wake.....Hana sifa za kuwa rais, muuaji mkubwa, na mpumbavu pamoja na mwanawe Abdul. Hana ubinadamu, ameua, amewachoma majeruhi kwenye matanuri ya cementi, ametupa maiti nyingine baharini na kwenye maziwa. Ni muuaji asiye na huruma huyo mama. Hatutakuwa na rais wa ovyo kama huyu mama.
 
Sawa Mh Mbowe jiandae kuingia kwenye Tume ya maridhiano kama mjumbe.
Mbona umekimbia swali? Mlitaka zile harakati za 29 october Samia afurahie na awapongeze kwa busu?
 
Hakukua na harakati zilizokuwepo zaidi ya mauaji ya kiholela ya raia wasio na hatia.
 
Back
Top Bottom