Aliyekuwa Mgombea Urais wa CCM, Samia Suluhu Hassan akipokea Hati ya Ushindi wa Kiti cha Urais kutoka kwa Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) Jaji Jacobs Mwambegele mara baada ya kutangazwa mshindi wa Kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika Uchaguzi Mkuu uliofanyika tarehe 29 Oktoba 2025, hafla hiyo ya kukabidhiwa Cheti imefanyika katika Makao Makuu ya Tume Njedengwa jijini Dodoma leo tarehe 01 Novemba 2025.